Kilanga komo
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 337
- 290
Asante π€π€
Hebu msalimie huyo mtuπNaomba nikununilie paka Certified Hater ππππππ
Kwanini umeweka discount ya buku in advanceNyau anauzwa (Felis catus) elfu kumi na tisa 19,000/= (negotiable)
Hahah daah wamepanda Sana Bei wateja wamenizidia πππSahivi nyau wako wamepanda bei, nmemkumbuka yule wa elf 3.... Nlicheka sana
Mnunulie kwa kweliπ€£Naomba nikununilie paka Certified Hater ππππππ
Ndo yupi huyoo??NAibu waziri Gekul ananunua
Hongera mkuu kwa kabiashara ka pekee ila Dr Matola PhD alikuambia ukitaka na wengine atakupa bure huko kwao nyau ni wengi ukiwa unakula zako ugali nyau anakutolea macho na kumeza mateHahah daah wamepanda Sana Bei wateja wamenizidia πππ
Huyu Ni paka Felis catusHebu msalimie huyo mtuπ
Ngoja aje kuchagua rangi ππMnunulie kwa kweliπ€£
Hahahaaa dah! Sawa namsalimiaHebu msalimie huyo mtuπ
Buku ya dagaa akiwa anamsafirisha asipige kelele, Kitalaa tunaiita ..... Au bachiiiKwanini umeweka discount ya buku in advance
Mzigo upo wa kutosha kwa sasa may be next timeHongera mkuu kwa kabiashara ka pekee ila Dr Matola PhD alikuambia ukitaka na wengine atakupa bure huko kwao nyau ni wengi ukiwa unakula zako ugali nyau anakutolea macho na kumeza mate
Nitakuja unipe utambulisho vizuri sio kwa tag hizoπ
π€Sawa