Pakajimmy amekorofishana na mpenzi wake

Valentina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
24,684
Reaction score
28,777
Kuna taarifa nimezipata hivi punde kuhusu mwenzetu kipenzi PakaJimmy. Kwa mujibu wa rafiki yake wa karibu afahamikae kama Sofapaka ndie alienipa taarifa hizi,nadhani by then kabla hawajahama eneo walilokua wanaishi na kuhamia Tandahimba huyu rafiki alikua mtu wake wa karibu sana.
Amesema leo majira ya sanane mchana PakaJimmy amepata ajali ya kimapenzi baada ya kukorofishana na gerlfriend wake. Aliendelea kusema matokeo yake pakajimmy amesusa mambo ya jf na amejikalia kijijini kwao kimya na hataki tena bugdha za watu kama kina Lily Flower.

Cc: IGWE, Easymutant, Blaki Womani, marejesho, Lady doctor, LiverpoolFC, Filipo, sweetlady, Erickb52, Cantalisia, Mzee wa Rula, Mr Rocky Arushaone n.k
 
Last edited by a moderator:
I will be back after the commercial break..... huh! huh! naomba kiroba original.
Billionaire PJ unaitwa huku PakaJimmy
 
Last edited by a moderator:



Teh teh ...... Hivi kumbe mupogo eeh

Napita tu mie
 
My goosh hilo kumbatio lilikua mwake mwake eee au ni mgeni wa kumbatio mwenzetu!!! Cc: Mwanyasi

Kumbatio la Ukweeee. ..

Japokuwa nilikuwa sambamba na hubby wangu Filipo lile Kumbatio aisee nililitamani..
Haki ya nani vile nilienda ku paste usiku. ...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…