Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Kuna taarifa gani hapa?My goosh hilo kumbatio lilikua mwake mwake eee au ni mgeni wa kumbatio mwenzetu!!! Cc: Mwanyasi
Kumbatioa la Chumbageni?
Em kujeni tena Ta, tuwapeleke Chumvini? (yalikoanzia mapenzi - Ta)
Kujeni kwa pango "tukaombe na kuahidi sadaka" "tukakalie sofa" "tukapande ndege" "tukaingie kaburini" "tukaangalie michoro" (ya ajabu pangoni). Tuka dance na dereva wa Mkuu....... and actually tukaogelee Arushaone style, tukaoge maji ya ukili - Filipo atawaonesha kwa vitendo. Arabela tukakanyage mchanga wa moto pekupeku.
njoo KakaJimmy, watu8, Madame B Smile, Lily Flower, Filipo = marejesho Preta njoo @blakiwomani (logistics na uratibu) .................. werawera.
PJ stresss tupa kuleee
Last edited by a moderator: