Pakajimmy amekorofishana na mpenzi wake

mmmmh..,..
 
Last edited by a moderator:
Mke mwee King'asti nimekuona ukikatiza mahali :cool2::wacko:

Nna kesi kubwa sana na wewe😡..... hii nadhani itasuluhishwa na ukoo mzima:angry:

Afu nikumbushe mara ya mwisho kabla sijajilima ban jf mme wangu alikuwa ni nani vile??? lol
 
Last edited by a moderator:
Ahahaha lol. Umezidi kuchanganya mazao jamani khaaa. Utazaa makande! Ila seriously hebu kesho ntakusaka tucatch up mamii. Haiwezekana kkawa hivi aosee
Mke mwee King'asti nimekuona ukikatiza mahali :cool2::wacko:

Nna kesi kubwa sana na wewe😡..... hii nadhani itasuluhishwa na ukoo mzima:angry:

Afu nikumbushe mara ya mwisho kabla sijajilima ban jf mme wangu alikuwa ni nani vile??? lol
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimekutana naye rombo huyu jamaa...
 
Jamani we mkaka upo??????.... Nimekumiss hadi mikono inatetemeka lol

Habari ya kupotezana TANMO?

Wooooow pacha langu hilo daaah..... Miss you more my pacha yaan mpaka naumwa :angry:

Nipo Pacha wangu nazidi tu kukondeana kwa kukumis.
Angalau leo nahisi kama nimeongezeka Kilo nilipouona mwandiko wako my Sweet Pacha :lalala::angel::busu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…