Pakajimmy amekorofishana na mpenzi wake

kumbe mfuga mbwa hayupo ndomanaaaaa....wala simtaki we mwenyewe umeanza kumtolea mguu nje...kazidisha uparoko nini.....

Haa wee eeh! Em pita vile usitie ukakasi wako muone vile???
 
Ha haaa bado nipogo na Eiyer wangu nimeweka kituo cha mwisho. Ila mke mwenza punguza basi kujifungia ndani na wewe!!

Sasa hivi nimetulizwa mke mwenza yani naletewa ndani tu ndio maana sizunguki zunguki nimetulia tuliiiiii.......lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…