min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Umbeke o morang ukyeri cha sodaš¤£Kiukweli sigara jau meku inakuuwa Taratibu huku unajiona! Mara Elfu Kaya pembeni kuna mbege! Karibu Simba!
Umbeke o morang ukyeri cha sodaš¤£Kiukweli sigara jau meku inakuuwa Taratibu huku unajiona! Mara Elfu Kaya pembeni kuna mbege! Karibu Simba!
Hatimaye umerudi mtandaon baada ya kupotea eeNa bado wanavuta vizuri tu
Sigara ni taka taka kabisa nilivuta once, kidogo nikawekewe mpira ya oxygen š®Sigara ndio zilitakiwa zipigwe marufuku badala ya bangi.
š ni sawa na lile tangazo la Dont drink and drive! yaani usinywe huku unaendesha gari! Tafuta kijiwe paki gari yako lock kisha kapige vyombo ukimaliza rejea kwenye mchuma wako washa ondokašHafu na bado ukimtuma mtoto dukani anauziwa anakuletea faza
Waachane na sigara wauze chenji inalipaYaaan hao watu wa manufacturing kama hawapo seriously..
ššššššš
Nimekuelewa Headmaster.Enzi za ujana Marlboro was my favourite Cigar. Ukiachana na Embasy(hii tulikuwa tunaiita ubalozi) rafiki yake Newport, Goldleaf na WhiteHorse Namshukuru Mungu Niliweza kuacha sigara but kwa mbinde sana wavutaji wanaelewa ninachozungumza!
Nimekuelewa Master.Maisha ya mwanaume hayana thamani meku. Punda Afe Nyumbani Wale.Throwback nachakata jasho kwenye mradi wa bepari Sigara,maziwa fresh na vitu vingine vidogovidogo ilikuwa ni bure Marlboro unavuta Tani yako Gold leaf Imetulia sana ile kitu. Shughuli ilikuwa kuja kuacha Noma sana. Sometimes Mazingira unayoishi yanachangia.
Jaribu Ganji bwasheeSigara ni taka taka kabisa nilivuta once, kidogo nikawekewe mpira ya oxygen š®
ššš, we jamaa jau sana..Nasubiri warning ya vaseline na parachute, kwa sisi team Chaputa gang.
Ganja nimekula mkuu, hakuna ulevi sijatumia mpka hereoin ni ma vibe ya kijinga tu š® heshimuni pombeJaribu Ganji bwashee
AiseeSio kama kwetu paketi za Sigara zinaurembo urembo.View attachment 3550901View attachment 3550902
Wenzetu wanaweka picha za watu wako ICU, panya wamekufa, yaan fujo tu.
View attachment 3550903View attachment 3550904View attachment 3550905
Ganja nimekula mkuu, hakuna ulevi sijatumia mpka hereoin ni ma vibe ya kijinga tu š® heshimuni pombe
Hii pombe chafu
Aahahahhahahah life sio poa aiseeeee nina mradi nimeanzisha hapa mtaani natengeneza vinamba..Waachane na sigara wauze chenji inalipa
Pombe ni pombe bwasheee,Hii pombe chafu