Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Nimekumbuka.Ingekuwa sigara pekee ndo kisababishi cha kifo ingeogopesha watu. Mtu anapanda bodaboda kwenda kwenye msiba wa mtu aliyekufa kwa ajali ya bodaboda. Wengine wanatogozana kwenye msiba wa mtu aliyekufa kwa umeme.
Boarding school o-level watu wametoka kuangalia sinema ya UKIMWI wakaenda kubaka kwa mtungo mwanafunzi mwenzao.
Kavukavu vidume karibu 7.