Paketi za sigara nchini Mexico zinakupa warning kibabe sana!

Hafu na bado ukimtuma mtoto dukani anauziwa anakuletea faza
😀 ni sawa na lile tangazo la Dont drink and drive! yaani usinywe huku unaendesha gari! Tafuta kijiwe paki gari yako lock kisha kapige vyombo ukimaliza rejea kwenye mchuma wako washa ondoka😂
 
Enzi za ujana Marlboro was my favourite Cigar. Ukiachana na Embasy(hii tulikuwa tunaiita ubalozi) rafiki yake Newport, Goldleaf na WhiteHorse Namshukuru Mungu Niliweza kuacha sigara but kwa mbinde sana wavutaji wanaelewa ninachozungumza!
Nimekuelewa Headmaster.
 
Nimekuelewa Master.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…