Nimekumbuka.Ingekuwa sigara pekee ndo kisababishi cha kifo ingeogopesha watu. Mtu anapanda bodaboda kwenda kwenye msiba wa mtu aliyekufa kwa ajali ya bodaboda. Wengine wanatogozana kwenye msiba wa mtu aliyekufa kwa umeme.
ahahaha π πNimekumbuka.
Boarding school o-level watu wametoka kuangalia sinema ya UKIMWI wakaenda kubaka kwa mtungo mwanafunzi mwenzao.
Kavukavu vidume karibu 7.
Uza chenji wewe huko utachelewa sana πAahahahhahahah life sio poa aiseeeee nina mradi nimeanzisha hapa mtaani natengeneza vinamba..
Unavijua vinamba lakini πππ
View attachment 3551793
Ahahhaha chenji ni noma mkuu nimejaribu nimeacha ndara aiseeeUza chenji wewe huko utachelewa sana π
Zingatia location ππ na uvumilivuAhahhaha chenji ni noma mkuu nimejaribu nimeacha ndara aiseee
Uvumilivu sina mimi ππππππZingatia location ππ na uvumilivu
Ndio maana umefunga lile duka kali la sinza, full ac, WI-FI na raba naneUvumilivu sina mimi ππππππ
ππππππππππDaaaah aiseeee nimefurahi sanaNdio maana umefunga lile duka kali la sinza, full ac, WI-FI na raba nane
Oyaa umefika chuga kweli wewe !!? πSio Mexico tu naona nchi nyingi haswa uingereza hutumia sana picha za namna hiyo ila watu wanavuta!, tz huku hakuna wavuta sigara kuna watu wanaonjaonja tu..π
Tz hakuna wavuta sigara labda kama hujakaa na ngozi nyeupe hizo mutu ni mutu na nusuOyaa umefika chuga kweli wewe !!? π
Wachina bila joto la moshi mambo yanastuck kabisa yaanTz hakuna wavuta sigara labda kama hujakaa na ngozi nyeupe hizo mutu ni mutu na nusu