Pre GE2025 Pakifanyika Reforms kwenye Katiba kupata Tume huru ya Uchaguzi, Watanzania wanaweza kuiamini na kuipigia kura CCM, tuondoe hofu

Pre GE2025 Pakifanyika Reforms kwenye Katiba kupata Tume huru ya Uchaguzi, Watanzania wanaweza kuiamini na kuipigia kura CCM, tuondoe hofu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nakumbuka yote,

Nachotaka ukubaliane nami kuwa, upinzani Bado hawana mizizi mashinani,

Hivyo Si Rahisi kushinda uchaguzi ghafula,

Maandalizi na uwekezaji Bado unahitajika,

Hivyo pamoja na mabadiliko yakifanyika, tukapata Tume huru ya Uchaguzi, Bado Si Rahisi CCM kushindwa vita ya uchaguzi.

CCM ichukue HOJA hii haraka na kuifanyia KAZI.
unafikiri kwanini wanakwama? kama inafaida kwao?
 
Tayari bunge lilishapitisha kuwa tume iliyopo iitwe tume huru ya uchaguzi. Sasa ni tume gani tena mnataka?
 
CCM Ina njia nyingi za kushinda uchaguzi hata ikiwepo hiyo Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya,

Bado Wana machinery za kushinda vita ya Uchaguzi.

CCM inaweza kubadilika na kupokea mabadiliko haya na kuendelea kusalia mamlakani Kwa HAKI.

..CCM inapokea BILLIONI 3.2 kila mwezi kama ruzuku toka kwa msajili wa vyama.

..uwezo huo wa kifedha unapaswa kukifanya chama hicho kijiamini kwamba kinaweza kushinda uchaguzi hata kama utasimamiwa na Tume Huru.
 
Nawe huamini kuwa CCM inaweza kushinda uchaguzi pakiwepo Tume huru ya Uchaguzi?

Hujui watajitojeza wananchi wengi zaidi kuipigia kura CCM Kwa kutimiza jambo Hilo muhimu Kwa ustawi wa Nchi?

Hii HOFU ndio ilisababisha shujaa wako kuharibu uchaguzi ilhali angeweza kushinda bila kuingiza kura fake.
Chaguzi zote toka 2010 hazitoai matokea yanayowafanya wakubali tume huru. Ingekuwa kweli wanapata kura wanazotangazwa nazo, wangekubali hiyo tume huru.
 
Ukweli mchungu ni kuwa katika mazingira ya uchaguzi huru CCM ya sasa haiwezi kuishinda hata ACT Wazalendo.
 
..CCM inapokea BILLIONI 3.2 kila mwezi kama ruzuku toka kwa msajili wa vyama.

..uwezo huo wa kifedha unapaswa kukifanya chama hicho kijiamini kwamba kinaweza kushinda uchaguzi hata kama utasimamiwa na Tume Huru.
Ndio Hasa msingi wa HOJA,

Pesa wanazo,

Ofisi zipo Nchi nzima ,zile walizorithi Toka mfumo wa chama kimoja,

Vitega Uchumi wanavyo,

Wasichokuwa nacho ni kujiamini tu kuwa wanaweza kushinda bila Hila za kuiba kura Kwa kupitia Tume huru ya Uchaguzi.
 
Tayari bunge lilishapitisha kuwa tume iliyopo iitwe tume huru ya uchaguzi. Sasa ni tume gani tena mnataka?
Iitwe sio, Yaani Tume Ile Ile ipewe Jina jipya!,

Uliishia la ngapi ndugu!!
 
Chaguzi zote toka 2010 hazitoai matokea yanayowafanya wakubali tume huru. Ingekuwa kweli wanapata kura wanazotangazwa nazo, wangekubali hiyo tume huru.
Kwa mtaji walionao,

Wanaweza kushinda hata pakiwepo Tume huru ya Uchaguzi,

HOFU na kukumbatia RUSHWA ndio Hasa tatizo,
 
Ukweli mchungu ni kuwa katika mazingira ya uchaguzi huru CCM ya sasa haiwezi kuishinda hata ACT Wazalendo.
Kijijini kwetu hicho chama hakuna anayekijua,

Sasa uichagueje ACT isiyojulikana ,isiyo na uwezo kuisimamisha mgombea, isiyo na ofisi?

CCM waache HOFU, wakubali ujio wa Tume huru ya Uchaguzi, wanashinda asubuhi na mapema.
 
Hellow Tanzania.

Nani anaingiza HOFU ndani ya chama Cha MAPINDUZI kuwa, pakifanyika Reforms kwenye Katiba tukapata Tume huru ya Uchaguzi, kwamba CCM itaanguka na kushindwa vita ya Uchaguzi mkuu?

CCM Ina mtajj mkubwa wa wanachama Nchi nzima, na wamefanikiwa kumtangaza Mwenyekiti wa chama kwenye mabango na picha kwenye bodaboda zilizotapakaa Nchi nzima,

CCM Ina ofisi Nchi nzima Hadi mashinani huko,

CCM Ina vitegauchumi na inapokea ruzuku ya kutosha Kila mwezi, Bilioni zaidi ya 3. Mtaji wa viongozi waliopikwa ,wasomi inayo.nk nk

Mabalozi wa nyumba kumi kumi Nchi nzima ni CCM, sasa HOFU ya kushindwa vita ya Uchaguzi inatoka wapi?

Mzee Kikwete aliruhusu Mchakato wa Katiba mpya kuanza Ili kuwahakikishia WAPINZANI kuwa CCM inaweza kushinda uchaguzi Kwa namna yoyote.

Ushauri: CCM itoke mbele na kukubali Reforms kwenye Katiba Ili Tume huru ya Uchaguzi ipatikane Ili CCM ishinde Kwa kishindo na WAPINZANI wakiongozwa na TUNDU Lissu, wakose pa kuficha sura zao Kwa Aibu.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
CCM siyo kama inahofu ya kushindwa kwa Hivi sasa hakuna chama Chochote ambacho kina mtandao kama CCM. Pia ambacho kimejipanga vizuri kila Idara, Tatizo la CCM kutotaka reform ni hizi
1.Wanataka kuzoa viti vyote kwenye chaguzi zote
2.Wanataka kulazimisha kupitisha watu ambao sehemu nyingine hawakubaliki
3.Chama kimekuwa kama Abiria wa Mbagala hata kama wapo watatu lazima wafanye vurugu kuingia kwenye Basi.
Kwa hiyo kwa misingi hiyo mitatu Abadani CCM haitakuwa tayari kwa Reform yoyote iwe ya katiba au yatume huru. Kwasababu swala la Haki kwao Halipo. Viongozi hivi sasa wanaandaa watoto wao na jamaa zao kushika madaraka hata kama hawawezi unadhani kuna mtu atakubali reform yoyoote. Watanzania wasipo Shtuka watakuja kukuta kila kitu kwenye nchi kimeshikwa na wageni kwani wao ndio wanafanikisha hizo ajenda za CCM. Wabunge wetu wote wamekuwa si wazalendo, Hata huyo Mpini wa jembe anayepiga kelele ni kwa sababu tu amewekwa nje ya ulaji lakini angepatiwa kanafasi kakula wala usinge msikia, Lakini afadhali hata yeye kidogo.
 
CCM siyo kama inahofu ya kushindwa kwa Hivi sasa hakuna chama Chochote ambacho kina mtandao kama CCM. Pia ambacho kimejipanga vizuri kila Idara, Tatizo la CCM kutotaka reform ni hizi
1.Wanataka kuzoa viti vyote kwenye chaguzi zote
2.Wanataka kulazimisha kupitisha watu ambao sehemu nyingine hawakubaliki
3.Chama kimekuwa kama Abiria wa Mbagala hata kama wapo watatu lazima wafanye vurugu kuingia kwenye Basi.
Kwa hiyo kwa misingi hiyo mitatu Abadani CCM haitakuwa tayari kwa Reform yoyote iwe ya katiba au yatume huru. Kwasababu swala la Haki kwao Halipo. Viongozi hivi sasa wanaandaa watoto wao na jamaa zao kushika madaraka hata kama hawawezi unadhani kuna mtu atakubali reform yoyoote. Watanzania wasipo Shtuka watakuja kukuta kila kitu kwenye nchi kimeshikwa na wageni kwani wao ndio wanafanikisha hizo ajenda za CCM. Wabunge wetu sio wote wamekuwa si wazalendo Hata huyo mpina anayepiga kelele ni kwa sababu tu amewekwa nje ya ulaji lakini angepatiwa kanafasi kakula wala usinge msikia, Lakini afadhali hata yeye kidogo.
HOJA nzito hizi,

Kumbe wakiacha Ujinga wa kukumbatia RUSHWA wakatenda HAKI, wakarugusu mchakato wa HAKI ndani ya chama Chao kupata wagombea wanaokubalika,

Bado CCM inaweza kushinda vita ya Uchaguzi hata pakiwepo Tume huru ya Uchaguzi.
 
Kwa mtaji walionao,

Wanaweza kushinda hata pakiwepo Tume huru ya Uchaguzi,

HOFU na kukumbatia RUSHWA ndio Hasa tatizo,
Huo mtaji upo kipropaganda zaidi, na kukiwa na uchaguzi huru hawawezi kupata 2/3 bungeni ambayo itawawezesha kupitisha chochote watakavyo. Na ndani ya chaguzi 2 hawatafikisha hata hiyo 2/3.
 
Kwako Lucas Mwashambwa, Ritz, FaizaFoxy ,Malaria 2 ,ChoiceVariable

Hii HOFU ya kushindwa uchaguzi Eti Kwa kubadili tu Katiba mpya kupata Tume huru ya Uchaguzi Si sahihi,

CCM inaweza kushinda uchaguzi hata bila ya Rais kuteua wakurugenzi kusimamia uchaguzi ambao anawalipa mishahara na kuwateua.
2010 na 2015 Mbowe na Lissu walipita na kushinda uchaguzi kupitia tume na katiba ipi?
 
Wasira amesema wananchi hawataki hayo mabadiliko wanataka chakula
 
Back
Top Bottom