- Thread starter
- #101
Wanaweza kushinda uchaguzi hata ikiwepo hiyo Tume huru ya Uchaguzi,CCM hawawezi kukubali reform Kwa kuwa itawamaliza
Muhimu waache RUSHWA na kupata wagombea Kwa HAKI.
Mtaji walionao ni mkubwa so far.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaweza kushinda uchaguzi hata ikiwepo hiyo Tume huru ya Uchaguzi,CCM hawawezi kukubali reform Kwa kuwa itawamaliza
Ni fear of unknown!Kuna ukakasi hapa, kwa nini CCM hawataki hii reform? Kuanzia Tume ya Jaji Nyalali, Kisanga hata hii ya Jaji Warioba - report zipo wazi kabisa kwa nini CCM hawataki? Kuna biashara gani kati ya Tanganyika na CCM.
Lissu tuongoze katika mpambano hawa jamaa yaonekana bila shuruti hawaendi.
Masuala ya kupangishana foleni jua kali kupiga kura zisizo na maana sasa imefika mwisho.
RUSHWA ipo kwenye DNA yaoWanaweza kushinda uchaguzi hata ikiwepo hiyo Tume huru ya Uchaguzi,
Muhimu waache RUSHWA na kupata wagombea Kwa HAKI.
Mtaji walionao ni mkubwa so far.
Katiba Mpya ndio inaleta Ugali? Tuendelee hivi hiviHellow Tanzania.
Nani anaingiza HOFU ndani ya chama Cha MAPINDUZI kuwa, pakifanyika Reforms kwenye Katiba tukapata Tume huru ya Uchaguzi, kwamba CCM itaanguka na kushindwa vita ya Uchaguzi mkuu?
CCM Ina mtajj mkubwa wa wanachama Nchi nzima, na wamefanikiwa kumtangaza Mwenyekiti wa chama kwenye mabango na picha kwenye bodaboda zilizotapakaa Nchi nzima,
CCM Ina ofisi Nchi nzima Hadi mashinani huko,
CCM Ina vitegauchumi na inapokea ruzuku ya kutosha Kila mwezi, Bilioni zaidi ya 3. Mtaji wa viongozi waliopikwa ,wasomi inayo.nk nk
Mabalozi wa nyumba kumi kumi Nchi nzima ni CCM, sasa HOFU ya kushindwa vita ya Uchaguzi inatoka wapi?
Mzee Kikwete aliruhusu Mchakato wa Katiba mpya kuanza Ili kuwahakikishia WAPINZANI kuwa CCM inaweza kushinda uchaguzi Kwa namna yoyote.
Ushauri: CCM itoke mbele na kukubali Reforms kwenye Katiba Ili Tume huru ya Uchaguzi ipatikane Ili CCM ishinde Kwa kishindo na WAPINZANI wakiongozwa na TUNDU Lissu, wakose pa kuficha sura zao Kwa Aibu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏
Sina tatizo na kushindwa kihalali boss. Tatizo ni kuwa watu hawako tayari kujitokeza kugombea kwa kuhatarisha maisha yao, ama kuhujumiwa shughuli zao za kuwaingizia vipato. Kwahiyo huo uduni unachangiwa na hujuma zaidi.Tuseme Kweli,
TUNDU Lissu amekiri uchaguzi wa mitaa uliopita kuwa, CHADEMA haikuwa imewaandaa wagombea wenye uwezo Kupambana katika vita ya Uchaguzi,
So, mbali na hujumanna wizi, capacity ya wagombea wa CHADEMA mara nyingi ni duni.
Vivyo hata baada ya kupatikana Tume huru ya Uchaguzi, CHADEMA ikiendelea kuweka wagombea duni, itaendelea kushindwa na CCM.
Mabadiliko ni taratibu. Unajua vitisho pia vinawarudisha nyuma raia. Lakini kukiwa na uwanja huru na elimu ya uraia ikatolewa wananchi wanabadilika. Sheria ikiruhusu hadi wagombea binafsi mbona wagombea watajitokeza kama kukiwa hakuna kutishanaPamoja na kupata Tume huru ya Uchaguzi, upinzani ukishindwa kupata wagombea imara,ikishindwa kujenga ofisi Hadi mashinani nk,nk, wasahau kukishinda CCM.
2020 hata bila kuvuruga uchaguzi CCM ingeshinda ila Magufuli nia yake ilikuwa kufuta upinzani Tanzania na kuirudisha nchi kwenye mfumo wa chama kimoja na hayo yalikuwa maandalizi ya yeye kuwa Rias wa milele chini ya mfumo wa Chama kimoja. Yule kiumbe alikuwa na ushetani mwingi sana.Nawe huamini kuwa CCM inaweza kushinda uchaguzi pakiwepo Tume huru ya Uchaguzi?
Hujui watajitojeza wananchi wengi zaidi kuipigia kura CCM Kwa kutimiza jambo Hilo muhimu Kwa ustawi wa Nchi?
Hii HOFU ndio ilisababisha shujaa wako kuharibu uchaguzi ilhali angeweza kushinda bila kuingiza kura fake.
Alikuwa sawa,2020 hata bila kuvuruga uchaguzi CCM ingeshinda ila Magufuli nia yake ilikuwa kufuta upinzani Tanzania na kuirudisha nchi kwenye mfumo wa chama kimoja na hayo yalikuwa maandalizi ya yeye kuwa Rias wa milele chini ya mfumo wa Chama kimoja. Yule kiumbe alikuwa na ushetani mwingi sana.
Umenena vyema,Katiba Mpya ndio inaleta Ugali? Tuendelee hivi hivi