Pakistan Kawauza USA na Iran Kwa Ceasefire Ya Uwongo

Pakistan Kawauza USA na Iran Kwa Ceasefire Ya Uwongo

Muhimu kesho kitajulikana lakini Pakistan anadai Iran ni mkweli
Iran tokea lIni alishawahi kuwa mkweli? Historical Persian hawajawahi kuwa wakweli. na sidhani kama watakuja kuwa wakweli deceptions ndio imekuwa mechanism ya kusurvive kwao. Don't trust anything come out from mouth of Persians.
wale.makenge wawili ndio waongo Trump na Shetanyahu
Andika Netanyahu. kumtusi wakati anapigania uhai wa ban Israel kama Allah alivyowaahidi wapigane kujilinda hadi kiama. sasa kama unaona au kumfananisha na Shetan basi tambua Allah ndio kapanga au hutaki? Soma Quran acha kumtusi mtu wa Allah aliyependelewa according to Quran
Mimi toka lini nilikuwa fake Muslim labda unaota
Ni fake sababu unamkana Yesu tena mara nyingi kuliko Petro hahahaha

Mtu anayejiita Muislam kisha anamdharau Yesu (Mwokozi Al Massiah) automatically anakuwa Fake Muslim
 
Back
Top Bottom