Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Sasa imesaidia nini.!!??Ila hio mbinu nzuri maana wangeendelea kutwangana mbwa hawa.
Acha kuwasingizia Waislam wewe fake muslim.Pakistani ni mshenzi sana kawapo Iran fake document kuwa America kakubali masharti yake na pia America kawapa fake document kuwa Iran kakubali masharti yake kwa hio kila mmoja akawa na proclaimed kashinda vita
View: https://youtu.be/vi1DUuCgj9g?si=Mt26d3aatUCTQXVQ
Muhimu kesho kitajulikana lakini Pakistan anadai Iran ni mkweli wale.makenge wawili ndio waongo Trump na ShetanyahuAcha kuwasingizia Waislam wewe fake muslim.
Iran tokea lIni alishawahi kuwa mkweli? Historical Persian hawajawahi kuwa wakweli. na sidhani kama watakuja kuwa wakweli deceptions ndio imekuwa mechanism ya kusurvive kwao. Don't trust anything come out from mouth of Persians.Muhimu kesho kitajulikana lakini Pakistan anadai Iran ni mkweli
Andika Netanyahu. kumtusi wakati anapigania uhai wa ban Israel kama Allah alivyowaahidi wapigane kujilinda hadi kiama. sasa kama unaona au kumfananisha na Shetan basi tambua Allah ndio kapanga au hutaki? Soma Quran acha kumtusi mtu wa Allah aliyependelewa according to Quranwale.makenge wawili ndio waongo Trump na Shetanyahu
Ni fake sababu unamkana Yesu tena mara nyingi kuliko Petro hahahahaMimi toka lini nilikuwa fake Muslim labda unaota