Pakistan: Mchoma matofali mkristo achinjwa baada ya kunywa maji katika chombo wanachotumia wafanyakazi wenzake waislam

Pakistan: Sadiq Masih, Mkristo mwenye umri wa miaka 40 aliyekuwa akifanya kazi katika tanuri la matofali, aliuawa baada ya kupata kiu na kunywa maji kutoka kwenye chombo cha kupoozea maji (Water cooler) ambacho wafanyaazi wenzake wa kiislam hawataki wenye dini nyingine kutumia.

Mfanyakazi mwenzake mmoja wa kiislam alimzuia kunywa maji akidai kuwa Wakristo hawakuruhusiwa kutumia maji hayo. Hata hivyo, kutokana na kiu kali baada ya kuchoma matofali, Sadiq Masih alikunywa maji hayo.

Baadaye, mfanyakazi mwingine alimshika kutoka nyuma na kumkata koo, na kusababisha kifo chake.

Sadiq Masih ameacha mke na watoto wanne.

Hata hivyo, hadi sasa haijafahamika iwapo aliechinja amechukuliwa hatua. Kumekuwa na matukio mengi ya dini nyingine wanaponyanyaswa au kuuawa, wahusika hawachukuliwi hatua au kupewa adhabu ndogo.

View attachment 3645191

Tukio hili limeibua mjadala kuhusu ubaguzi wa kidini, haki za binadamu, na usalama wa makundi ya wachache nchini Pakistan.

Source: Morning star news
 
Attachments

  • instagram_1785832124676.mp4
    3.6 MB

Ukiwa minority ndani ya waislam, una kuwa na Hari mbaya sana,
 
Unapokuwa sehemu walikojaa waislam hakukosekani sheria zenye adhabu kali

Mfano Zanzibar ukikutwa unakula Ramadhani hata kama wewe sio muislam, utashushiwa kipigo au kufungwa
Shida sana. Hawana uvumilivu.
 
Ukiwa minority ndani ya waislam, una kuwa na Hari mbaya sana,
Ila wao wakiwa minority hupenda equality, utaona mfano kwenye ajira au nafasi za uongozi hata wakristo wakiwa wengi huwa kuna empowerment ili kuwepo na equality hata kama qualifications ni ndogo

Ila nenda sehem walipo majority, kitu cha kwanza nchi inatangaza hio ni nchi ya kidini, hapo sasa hata uwe na qualifications za juu kama ni minority ni mziki
 
Pakistan: Sadiq Masih, Mkristo mwenye umri wa miaka 40 aliyekuwa akifanya kazi katika tanuri la matofali, aliuawa baada ya kupata kiu na kunywa maji kutoka kwenye chombo cha kupoozea maji (Water cooler) ambacho wafanyaazi wenzake wa kiislam hawataki wenye dini nyingine kutumia.

Mfanyakazi mwenzake mmoja wa kiislam alimzuia kunywa maji akidai kuwa Wakristo hawakuruhusiwa kutumia maji hayo. Hata hivyo, kutokana na kiu kali baada ya kuchoma matofali, Sadiq Masih alikunywa maji hayo.

Baadaye, mfanyakazi mwingine alimshika kutoka nyuma na kumkata koo, na kusababisha kifo chake.

Sadiq Masih ameacha mke na watoto wanne.

Hata hivyo, hadi sasa haijafahamika iwapo aliechinja amechukuliwa hatua. Kumekuwa na matukio mengi ya dini nyingine wanaponyanyaswa au kuuawa, wahusika hawachukuliwi hatua au kupewa adhabu ndogo.

View attachment 3645191

Tukio hili limeibua mjadala kuhusu ubaguzi wa kidini, haki za binadamu, na usalama wa makundi ya wachache nchini Pakistan.

Source: Morning star news
Huyo jamaa kayatakla mwenyewe.
Unapoishi na Watu si u akiwa unawajua Itikadi zao? Ukidharau unapata matokeo yake
 
Mashaallah ndugu msilamu.Inaswihi sana aina ya utulanaji wako.
Well, do you think kila anayeenda kinyume na wewe ni muislam?
Wewe na huyo mpumbavu mwenzio mmeshindwa kurespect dini ya wenzenu. Kulikua na haja gani ya kufanya mockery na kutukana at first?
Kama ulikua na akili kwanini usimkataza mwenzio kutukana?

Mimi siogopi ban mzee, waambie wafungie kabisa hii device au email adress isilogin JF lakini ban ya mwezi 1 haina impact kwangu. Na moderatod atakayepiga ban na yeye MATAKO yake in advance.
 
chanzo ni blog uchawa ya wakristo ,hata mkristo akipigwa kibao na Muislamu hiyo blog inaripot ila hakuna taarifa za manyanyaso wanayofanyiwa kule israel..
 
Angalia hiyo news chanzo ni viblog uchwara vya kikristo ,wala hakuna media kuvwa kote duniani ..Viblog hvina hta "https" viblogs scam hivyo...Yaani kazi yap kuripot ujinga na udini ,kama wamegombana inahusika vipi na dini na hakuna sehemu wamesema hiyo sehemu ya kunywea maji waislamu pekee .

Yaani wakigombana watu ,hivyo viblog vinaangalia dini zao kwanza😅😅kama ni Muislamu na mkristo ,wanakuja na stori eti Muislamu anagombana na mkristo kisa dini
55382.png
 
Back
Top Bottom