Pakistan na India waliishia wapi, kwanini wahindi wamekasirika Modi kukubali amani kwa ceasefire ?

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
Nikiingia mitandaoni naona wahindi wengi wanalamlalamikia waziri mkuu kukubali amani yaishe kwa cease fire ambayo ilikuwa pendekezo la Trump.
 
Kwa sababu kiongozi wao ana hekima zaidi ya hao walalamikaji.
Vita siyo tukio la kutamani, ni tukio la kujaribu kutetea ubinafsi na tamaa za watu kwa gharama ya damu na mali.

Ushujaa wa vita huja kwa kafara ya damu na maangamizi.
 
Vita si bollywood movies..
Hii movie imetoka 2024 ya India, ikiwa story ni hayo hayo masuala ya Pakistan na India na migogoro yao ya Kashmir..
Ukitizama hio movie unaweza dhani India ina uwezo kuitandika Pakistan kwa siku moja...
Lakini India ilichofanywa ni maamuzi ya busara kwa waziri wao kusitisha vita...
Vijana wa India hizi movies ndio zinawadanganya..
zzQOj7gQPZk9B8meRW9gwEgJW6y_Ba-KLKU7bYMy-peFxpR4V7yp9RU7MIR5ZsAyOpsS-6QGlmMWFOPF=w544-h544-l90-rj
 
Hii movie itakuwa imewapa kiburi sana [emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hivi Muhindi alivyo Soft Touch atamuweza Mpakistan kweli
Labda amzidi kula pilipili...
Pakistan walishambulia Iran ikabidi Iran ikubali matokeo..
Pakistan hawana cha kupoteza..
Wahindi mnawachukuiaje hivi ?

Vita ya kwanza 1947 waligombaniana ardhi ya Kashmir, India walishinda kwa kuchukua eneo kubwa 2/3, Pakistan wakaambulia 1/3

Vita ya pili mwaka 1965, Pakistan walijaribu kuchukua eneo la Kashmir upande wa India lakini hawakufanikiwa.

Vita ya Tatu 1971 India aliwabutua Pakistan, Pakistan ya Mashariki ikawa nchi huru inayoitwa Bangladesh

Vita ya nne 1999 nayo India aliwabutua
 
Wahindi mnawachukuiaje hivi ?

Vita ya kwanza 1947 waligombaniana ardhi ya Kashmir, India walishinda kwa kuchukua eneo kubwa 2/3, pakistan wakaambulia 1/3

Vita ya pili mwaka 1965, Pakistan walijaribu kuchukua ardhi ya Kashmir lakini hawakufanikiwa.

Vita ya Tatu 1971 India aliwabutua Pakistan, Pakistan ya Mashariki ikawa nchi huru inayoitwa Bangladesh

Vita ya nne 1999 nayo India aliwabutua
Kijeshi India anamzidi Pakistan na amemshinda mara nyingi

Pakistan nao wajanja India huwa wanamtwanga kwa kutumia makundi ya kigaidi
 
Kweli kabisa
Mpakistani kwa India bado sana

Vita ya kwanza 1947 waligombaniana ardhi ya Kashmir, India walishinda kwa kuchukua eneo kubwa 2/3, Pakistan wakaambulia 1/3

Vita ya pili mwaka 1965, Pakistan walijaribu kuchukua eneo la Kashmir upande wa India lakini hawakufanikiwa.

Vita ya Tatu 1971 India aliwabutua Pakistan, Pakistan ya Mashariki ikawa nchi huru inayoitwa Bangladesh

Vita ya nne 1999 nayo India aliwabutua
 
Kijeshi India anamzidi Pakistan na amemshinda mara nyingi

Pakistan nao wajanja India huwa wanamtwanga kwa kutumia makundi ya kigaidi
Hadi watumie magaidi kwa kujificha ficha ni wazi kwamba hawana uwezo wa kijeshi,

Hakuna ujanja wowote wa kutumia ugaidi wa kujilipua mabomu ya kujitoa muhanga, vita inabidi ipiganwe na wahusika ambao ni majeshi
 
Wahindi mnawachukuiaje hivi ?

Vita ya kwanza 1947 waligombaniana ardhi ya Kashmir, India walishinda kwa kuchukua eneo kubwa 2/3, Pakistan wakaambulia 1/3

Vita ya pili mwaka 1965, Pakistan walijaribu kuchukua eneo la Kashmir upande wa India lakini hawakufanikiwa.

Vita ya Tatu 1971 India aliwabutua Pakistan, Pakistan ya Mashariki ikawa nchi huru inayoitwa Bangladesh

Vita ya nne 1999 nayo India aliwabutua
Kwa dunia ilipo hivi sasa na ushindani wa kiteknolojia na kiuchumi, ni bora India iachane na hio vita isiyo na faida..

Sehemu India ilipo Pakistan haipo, makampuni ya uwekezaji kwa sasa tokana na vita ya kiuchumi iliyopo kati ya China na US, wanaanza kuitizama India kama mbdala wa China..

Sasa wakianza vita itakuwa hasara kwao... Pakistan hana cha kupoteza na wanapenda vita sana... vita kwao ni sherehe..
 
Na ndio maana Nandra amelegeza msimamo wake juu ya Pakistan kwa sababu ya uchumi, ila kijeshi India yupo juu ya Pakistan lakini pia tukumbuke wote wanamiliki nyuklia
 
Pakistan atapigwa ndio lakini tayari India itakuwa imepata hasara tena si kidogo...
Hivyo ni jambo la busarawaziri wao alilofanya..
 
Labda amzidi kula pilipili...
Pakistan walishambulia Iran ikabidi Iran ikubali matokeo..
Pakistan hawana cha kupoteza..
Pakistani hakushambulia Iranian deep territory kaka,alishambulia Boluchistan province of Iran.
Na huo upande hauna ulinzi wa kutosha wa anga wala askari,ni sehemu Moja wapo waasi wa Boluchistan wanapojifichia.
 
Back
Top Bottom