Na ndio maana Nandra amelegeza msimamo wake juu ya Pakistan kwa sababu ya uchumi, ila kijeshi India yupo juu ya Pakistan lakini pia tukumbuke wote wanamiliki nyuklia
Pakistani hakushambulia Iranian deep territory kaka,alishambulia Boluchistan province of Iran.
Na huo upande hauna ulinzi wa kutosha wa anga wala askari,ni sehemu Moja wapo waasi wa Boluchistan wanapojifichia.
Sio kwama nilimaanisha Iran kaogopa, nilimaanisha Iran iliona haina maana na kuachana nao..
Lakini kijeshi Pakistan sio level za Iran.. ni kwamba Pakistan kamanilivyosema hawana cha kupoteza..