HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Tanzania ina tatizo la skilled laborsMimi huwa nawaza jinsi tunavyoweza kuwatumia Wapakistani kujenga viwanda vyetu vidogo. Huwa naona wana viwanda ambavyo havifiki thamani hata ya TZS 200M ila wana skills kubwa na uzoefu. Sema wanafanya kazi mazingira magumu sana