Palamagamba Kabudi na Bashir Ally ndio marafiki kweli wa mzee Hayati Magufuli

Palamagamba Kabudi na Bashir Ally ndio marafiki kweli wa mzee Hayati Magufuli

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
Huo ndiyo ukweli.

Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.

Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.

Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.

RiP JPM.
 
Ndo kashaondoka ..hawezi kurudi tena yupo na hao aliowatanguliza kina Ben.

ok kwa hawa mabwana wawili hawana namna tena!! ile falsaha yao ya kubumba ya mabeberu haipo tena, habari ya town sasa ni Katiba mpya!!

Wajirudi tu hawana jinsi, Maisha yanakwenda kwa kasi sana...nani angelitabiri haya miezi 5 iliyopita??
 
..ni marafiki wabaya.

..walimsifia magufuli kila wakati.

..hawakumwambia ukweli, wala kumrekebisha.
Kwa mujibu wa kikwete, wakati wa Urais wake (kikwete) ,hakuna kiongozi yeyote alikuwa ana utani na rais isipokuwa magufuli tu ndio alikuwa na uwezo wa kumtania Rais
Mfano huu ambao nimeutoa kwenye hotuba ya Kikwete unaonesha mamlaka ya Rais wa Tanzania yalivo makubwa, hivo basi, hao uliowataja wasingekuwa na uwezo wa kumkosoa wala kumrekebisha Rais.
 
CCM wengi ni wanafiki wakubwa mno na walafi wasio na huruma na nchi hii. Wachache waliobaki ni pamoja na Majaliwa KAssim. Kuna haha ya kumfikiria huyu kuwa RAIS mwaka 2025.
Labda 2030 CCM tuna utaratibu wa kuachiana
 
Hata kigwangalla si mnafiki
Yule ndio hatari zaidi ya wote, siku hizi anasifu barakoa wakati alikuwa mstari wa mbele kumsupport john, sasa hivi ni mpinga nyungu mkubwa
Alafu hawezi teuliwa tena, Kigwa kabla john hajatangazwa kufaliki alimposti siku moja na kuweka maneno ya kuashiria Boss mgonjwa, hayo wenzie sidhani kama walipenda kwa sababu walikuwa wanaficha
 
Ndo kashaondoka ..hawezi kurudi tena yupo na hao aliowatanguliza kina Ben.

ok kwa hawa mabwana wawili hawana namna tena!! ile falsaha yao ya kubumba ya mabeberu haipo tena, habari ya town sasa ni Katiba mpya!!

Wajirudi tu hawana jinsi, Maisha yanakwenda kwa kasi sana...nani angelitabiri haya miezi 5 iliyopita??
hata miezi 6 ijayo inawezakuwa imeshapatikana katiba mpya,yenye maumivu zaidi ya iliyopo.

maana inawezekana mnadai kitu bila kusema mnataka kiweje.kama ya sasa haiheshimiwi,tafakari kuhusu hiyo mpya.
 
hata miezi 6 ijayo inawezakuwa imeshapatikana katiba mpya,yenye maumivu zaidi ya iliyopo.

maana inawezekana mnadai kitu bila kusema mnataka kiweje.kama ya sasa haiheshimiwi,tafakari kuhusu hiyo mpya.
Hivi hujui katiba mpya inayodaiwa ni katiba ya Warioba? Wewe unasemea katiba gani?
 
CCM wengi ni wanafiki wakubwa mno na walafi wasio na huruma na nchi hii. Wachache waliobaki ni pamoja na Majaliwa KAssim. Kuna haha ya kumfikiria huyu kuwa RAIS mwaka 2025.

Kwamba Majaliwa hayuko kwenye hiyo list pendwa?

Labda kama si huyu aliyejinasibu kuwa mzee baba yuko busy na mafaili ofisini.
 
mkuu hiyo kitaalamu tunaita ukomavu wa fikra.

wao wameamua kutokuwa wanafiki akiwemo na pole pole,bila kijali team taarabu inasemaje.ila wanasimamia msimamo wao na mwendazake kwamba hawakukurupuka kuamua chochote,hata wakiulizwa leo majibu yatakuwa yale yale juu ya jambo lolote waliloamua wakiwa na jamaa yao.
 
Back
Top Bottom