mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,864
- 10,483
Akifuatiwa na haramia mwingine Bashite. You have nailed it chief.Huyo ndiye alikuwa right hand man wa mzee baba.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akifuatiwa na haramia mwingine Bashite. You have nailed it chief.Huyo ndiye alikuwa right hand man wa mzee baba.
Au nasema uongo ndugu zangu?
We kiazi MTU asiyekukosoa ndiyo rafiki wakweli???alafu unaezakuta umesoma mpaka lasaba bado unawaza kama mtoto wa lapiliHuo ndiyo ukweli.
Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.
Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.
Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.
RiP JPM.
Je, ipo dhambi?Huo ndiyo ukweli.
Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.
Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.
Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.
RiP JPM.
Hebu acheni ujinga, kwani hakuna maisha nje ya uteuzi😡!?Kabudi, Bashiru na Polepole wote wanapumulia mashine kwa kukoswa koswa na panga la Samia!
Akifuatiwa na haramia mwingine Bashite. You have nailed it chief.
Wamseme kwa kosa lipi?Huo ndiyo ukweli.
Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.
Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.
Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.
RiP JPM.
Mungu fundi sana hakukosea kumuondoa mchatoHuo ndiyo ukweli.
Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.
Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.
Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.
RiP JPM.
Pole SANA kwa kumuotea ndoto, mzee wa msg za UMEAPA VIZURI.😂CCM wengi ni wanafiki wakubwa mno na walafi wasio na huruma na nchi hii. Wachache waliobaki ni pamoja na Majaliwa KAssim. Kuna haha ya kumfikiria huyu kuwa RAIS mwaka 2025.
Mkuu umemsahau jambazi Sabaya.
Kwa mujibu wa kikwete, wakati wa Urais wake (kikwete) ,hakuna kiongozi yeyote alikuwa ana utani na rais isipokuwa magufuli tu ndio alikuwa na uwezo wa kumtania Rais
Mfano huu ambao nimeutoa kwenye hotuba ya Kikwete unaonesha mamlaka ya Rais wa Tanzania yalivo makubwa, hivo basi, hao uliowataja wasingekuwa na uwezo wa kumkosoa wala kumrekebisha Rais.
Na hata wewe huwezi kutabiri ya kwako!Ndo kashaondoka ..hawezi kurudi tena yupo na hao aliowatanguliza kina Ben.
ok kwa hawa mabwana wawili hawana namna tena!! ile falsaha yao ya kubumba ya mabeberu haipo tena, habari ya town sasa ni Katiba mpya!!
Wajirudi tu hawana jinsi, Maisha yanakwenda kwa kasi sana...nani angelitabiri haya miezi 5 iliyopita??
Mkuu kwanza kabisa Ahsante kwa kunifahamisha hilo, ulichosema ni sahihi. Lakini sidhani kama John alikuwa anashaurika..Joseph Warioba akiwa AG alim-face Mwalimu Nyerere kwasababu Mwalimu aliteua RC aliyehukumiwa na mahakama ya rufaa kutoshiriki siasa kwa miaka 10.
..Warioba hakufanikiwa kumshawishi Mwalimu kutengua uteuzi aliokuwa ameufanya.
..Kwasababu hiyo Warioba akaenda kwa Waziri Mkuu Edward Sokoine kumueleza " mgogoro " wake na Rais Mwalimu Nyerere.
..Sokoine naye akamfuata Mwalimu Nyerere kumuelezea suala lilelile aliloelezwa na Warioba. Matokeo yake Mwalimu Nyerere akatengua uteuzi wa RC.
..Raisi ni BINADAMU na anaweza kukosea. Hivyo ni muhimu awe na wasaidizi wenye MAADILI wanaoweza kumpa ushauri mzuri wenye manufaa kwa taifa.
Huo ndiyo ukweli.
Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.
Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.
Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.
RiP JPM.
Mungu yuko upande wao, ni wachapa kazi wa kweli na wazalendo wa kweli. Ni majembe ya mama! Mama anajivunia majembe haya. Mama tunza hayo majembe na hayatakuangushaKabudi, Bashiru na Polepole wote wanapumulia mashine kwa kukoswa koswa na panga la Samia!
Huo ndiyo ukweli.
Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.
Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.
Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.
RiP JPM.
CCM wengi ni wanafiki wakubwa mno na walafi wasio na huruma na nchi hii. Wachache waliobaki ni pamoja na Majaliwa KAssim. Kuna haha ya kumfikiria huyu kuwa RAIS mwaka 2025.
Wimbo wao wa mabeberu hawana pa kuuimbia tena,wamebaki na aaibu zao tu kwa ujinga na unafiki waoHuo ndiyo ukweli.
Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.
Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.
Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.
RiP JPM.
mkuu hiyo kitaalamu tunaita ukomavu wa fikra.
wao wameamua kutokuwa wanafiki akiwemo na pole pole,bila kijali team taarabu inasemaje.ila wanasimamia msimamo wao na mwendazake kwamba hawakukurupuka kuamua chochote,hata wakiulizwa leo majibu yatakuwa yale yale juu ya jambo lolote waliloamua wakiwa na jamaa yao.