Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

Lazima kwanza wawanange ndio mambo mengine yaendelee, mliwatesa sana vijana wetu wakati wanajitafuta mkiwa ving'asti
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani hadi tuseme.

Mbaya zaidi mtu anakuvizia ufikishe 30 anaona umezeeka basi utulie mfanye maisha bado hutaki! Kizee unaringa nini? 🀣

They be like utakufa vibaya β€œmbwa we”!

Kwa kweli kama kuna vita nazipenda ni hizi!
 
Kwa hio nafasi,, asante kwa kushirikiπŸ˜†πŸ˜†πŸƒπŸΎβ€β™€οΈ
Nimesemea ile comment banaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Ila zimebaki nafasi mbili karibuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Na navyojua kulea sasa sio poa.
 
Nimesemea ile comment banaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Ila zimebaki nafasi mbili karibuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Na navyojua kulea sasa sio poa.
πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚The number u're calling haiko kwa air
 
πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚The number u're calling haiko kwa air
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nitaacha voice mail au multi media message.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…