binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
๐๐๐ yaani hadi tuseme.Lazima kwanza wawanange ndio mambo mengine yaendelee, mliwatesa sana vijana wetu wakati wanajitafuta mkiwa ving'asti
Mbaya zaidi mtu anakuvizia ufikishe 30 anaona umezeeka basi utulie mfanye maisha bado hutaki! Kizee unaringa nini? ๐คฃ
They be like utakufa vibaya โmbwa weโ!
Kwa kweli kama kuna vita nazipenda ni hizi!