Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

😂😂😂Ila sasa hivi wanaume wenyewe wanaojielewa ni wachache sana.
Maana vijana wengi wahovyo kina hamdala kiuno wanashenyenta na kusepa na wengine ndio hivyo wameamua kugeuka wanawake(mashoga).
Yani ecosystem imekua haija balance kabisa.
Halafu nina swali la kizushi,hivi kwanini baadhi ya wadada wakisikia unaishi na mke wanaku appreciate na kuwa karibu na wewe sana!??
Swali gumu,, ngoja wahusika waje wajibu aloooh
 
Tatizo mabinti wadogo hawataki kuolewa na ninyi hamtaki kuwaoa wanawake wakubwa sasa itakuwaje, hata hivyo hawa wanaume ndio wa kuwafanya mashangazi wawaonee wivu mabinti wadogo hadi kufikia hatua ya kusema wanawaharibu, the best advice wanayoweza kupewa mabinti wa sasa ni wafanye yale yanayowapa furaha wao na siyo yanayowapa furaha wanaume basi
Kwa mara ya kwanza Kungwi Feminist Jadda ka-surender hoja ya Kiume juu ya tabia mbovu za Ke kimahusiano tangu dunia iumbwe.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Ukweli ni kwamba hao wanawake waliopitia mengi huwa wanathamini sana ndoa zao, wanakuwa makini sana, walishajifunza mengi na wamepitia mengi.


Wanakuwa wanaelewa thamani ya ndoa, na wanaelewa maisha kwa mapana zaidi.

Sio wote lakini.
 
Jitulize ishi maisha yako jikubali na pia yakubali maisha yako.
Ila itakapotokea kaja mtu muhimu kwako na amekuridhia ulivyo na akayakubali maisha yako basi ishi nae.
Maana upweke kitu kimoja kigumu sana,na mara nyingi upweke unakamata sana watu wazima kuliko vijana.
Ila usijichukulie dhaifu wala mwepesi,jipe thamani ile ile na pia atakayekuja akuthamini thamani unayostahiki.
Usije ukajijengea tabaka.
Sikio la kufa huyo
 
😂😂😂😂 Siku hizi kuna watu wamepinda!!

Nazipenda nyakati ninazoishi!

Huu ni ukweli! hatuwataki watu kibao tu kwahiyo wapunguze kujipa umuhimu!
Average Joe’s wanajidanganya sana..
Because they are arrogant Jack asses. They see themselves as a woman’s savior from being an old maid. This isn’t 1900 it’s the 21 st century. Women don’t need “saved”. Or to be married. We can make our own choices.. hey niggaz msijipe umuhimu..
 
Jada ni msagaji asiwapotezee muda
Ayseee...😳🏃

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
JamiiForums-79526340.jpeg
 
Hili andiko ni reality ya maisha Kwa mwanamke na mwanaume kwenye mahusiano, ata mm nilipoteza pisi Kali za maana, zilitak nizioe kipind mbichi, nilikua nawapotezea tu muda ila now Nina wife mcharuko ila napambana aisee😄
Uwongo...Ke wanatumia dawa kubana mabwawa mtera, nawe Me unatumia dawa kukuza kiba100?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Average Joe’s wanajidanganya sana..
Because they are arrogant Jack asses. They see themselves as a woman’s savior from being an old maid. This isn’t 1900 it’s the 21 st century. Women don’t need “saved”. Or to be married. We can make our own choices.. hey niggaz msijipe umuhimu..
Mleta mada hakusema kama wanaume ni waokozi wa wanawake.
Ushadhihirisha hurka yenu ya ujuaji mwingi.
Mleta mada amezungumzia wanawake wa aina ambayo ametaka kuzungumzia.
Na ni kweli wanawake wa aina hiyo wapo katika jamii.
Kama wewe unafurahi kuwa single unajimudu kuna wenzako hawafurahii maisha ya upweke na wanahitaji wenza wa kufurahi nao katika maisha.
Usiseme mnajimudu wote sema wewe na wanawake mnaofanana kihurka ndio mnajimudu.
 
Back
Top Bottom