Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Umejaribu kuwatetea au ulikuwa unaonesha sympathy cooperation ili wajilete wenyewe inbox uwanase kilaiiini...?Nini kifanyike?๐
Nimejaribu kuwatetea hawa dada zangu nimeshindwa
Swali gumu,, ngoja wahusika waje wajibu aloooh๐๐๐Ila sasa hivi wanaume wenyewe wanaojielewa ni wachache sana.
Maana vijana wengi wahovyo kina hamdala kiuno wanashenyenta na kusepa na wengine ndio hivyo wameamua kugeuka wanawake(mashoga).
Yani ecosystem imekua haija balance kabisa.
Halafu nina swali la kizushi,hivi kwanini baadhi ya wadada wakisikia unaishi na mke wanaku appreciate na kuwa karibu na wewe sana!??
Wabheja sanaHakika sweetheart...
Kwa mara ya kwanza Kungwi Feminist Jadda ka-surender hoja ya Kiume juu ya tabia mbovu za Ke kimahusiano tangu dunia iumbwe.Tatizo mabinti wadogo hawataki kuolewa na ninyi hamtaki kuwaoa wanawake wakubwa sasa itakuwaje, hata hivyo hawa wanaume ndio wa kuwafanya mashangazi wawaonee wivu mabinti wadogo hadi kufikia hatua ya kusema wanawaharibu, the best advice wanayoweza kupewa mabinti wa sasa ni wafanye yale yanayowapa furaha wao na siyo yanayowapa furaha wanaume basi
Hainaga makombo...๐Mada za ngumi, vita na makasiriko hizi. Tuachieni hao mabinti over 30, hao ndio size yetu....
Oyaa mkuu uko sahihi sana. Ukisikia kilio ujie jiwe limempata ๐คฃUkiona mtu anatumia sana kauli za kutusi ujue umerusha jiwe gizani.
๐๐๐๐
Nichek Kwa namba inayoishia 963Wabheja sana
Sikio la kufa huyoJitulize ishi maisha yako jikubali na pia yakubali maisha yako.
Ila itakapotokea kaja mtu muhimu kwako na amekuridhia ulivyo na akayakubali maisha yako basi ishi nae.
Maana upweke kitu kimoja kigumu sana,na mara nyingi upweke unakamata sana watu wazima kuliko vijana.
Ila usijichukulie dhaifu wala mwepesi,jipe thamani ile ile na pia atakayekuja akuthamini thamani unayostahiki.
Usije ukajijengea tabaka.
Mmmh madam we mwanamke lazima ujue bana.Swali gumu,, ngoja wahusika waje wajibu aloooh
KKKTMmmh madam we mwanamke lazima ujue bana.
Basi nakuuliza swali binafsi wewe hapo.
We muumini wa dini gani??
Msemaji wa maisha yangu sasaSikio la kufa huyo
Average Joeโs wanajidanganya sana..๐๐๐๐ Siku hizi kuna watu wamepinda!!
Nazipenda nyakati ninazoishi!
Huu ni ukweli! hatuwataki watu kibao tu kwahiyo wapunguze kujipa umuhimu!
Ayseee...๐ณ๐Jada ni msagaji asiwapotezee muda
Ungekua mvaa juba tungenena jambo.๐๐๐๐KKKT
No thank yuuuuuu ๐๐๐Ungekua mvaa juba tungenena jambo.๐๐๐๐
Uwongo...Ke wanatumia dawa kubana mabwawa mtera, nawe Me unatumia dawa kukuza kiba100?Hili andiko ni reality ya maisha Kwa mwanamke na mwanaume kwenye mahusiano, ata mm nilipoteza pisi Kali za maana, zilitak nizioe kipind mbichi, nilikua nawapotezea tu muda ila now Nina wife mcharuko ila napambana aisee๐
Ndio,ila anataka kunichosha sana maana ana wivu uliopitiliza kila siku tunagombana,wakat yeye enzi hzo kachezea waume wa watu sana tuIla unadunda tu naye vizuri ๐
Mleta mada hakusema kama wanaume ni waokozi wa wanawake.Average Joeโs wanajidanganya sana..
Because they are arrogant Jack asses. They see themselves as a womanโs savior from being an old maid. This isnโt 1900 itโs the 21 st century. Women donโt need โsavedโ. Or to be married. We can make our own choices.. hey niggaz msijipe umuhimu..