Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

Ushaanza kuogopa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Uoga muda mwingine unawakosesha vingi.
πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈ
 
Kiukweli hii tabia yao iliniumiza sana demu nayempenda alinipotezea alilinganisha kipato changu na washkaji wengni mwisho wa siku akasepa.

Nilipambana sana kutafuta pesa yaani nikiamini mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyew mpaka sasa imepita miaka zaidi ya Saba juhudi hazijawai kumtupa mtu sasa ile pisi nilibahatika kukutana nayo imechoka sana sio kama zamani. Anafosi tuludiane ametambua makosa yake na yupo teyali kuishi na Mimi mpaka kufa nilimcheka sana nitamwambia pita kushoto


Snitch stay back
 
Katika awamu hii ya maisha yake, anakumbuka maisha yake ya zamani na kugundua kuwa aliishi maisha yasiyo na maana na amefanya mistake kubwa sana maishani.
Sijui kwa nini hii sehemu imenihuzunisha sana 😭😭

Lakini mwanamke kama huyu sio wa kumwonea huruma mpige hit and run akome 🀣

Cc Jadda
 
Okay, Mr gutter rat so hapo ni vibuyu v/s vibungo?
 
Nafikiri ni kuathiriwa na malezi na familia hakuna sabbu kulaumu waliopitia hayo Bali tunaotarajia kuwa wazazi tujikite Kujifunza malezi kuja kuwa wamama wazuri na wababa wazuri Kwa kizazi kinachokuja bila hivo hiv nyuzi zitatusuta nafs tutapopata mabinti wa ovyo ambao tulipoteza muda kuwananga tukaacha Kujifunza kuwa walezi wazuri πŸ™
 
I love bird πŸ˜„ nikiona mtu anarusha jiwe au kunguru kaiba kinda roho inauma 🀣
Alidondoka wapi ukampata? Inaoneka huogopi ndefe na jamii yake
Hahahaha,,kalikosea njia kakatua kwenye mguu wangu,sasa lile wenge kakashindwa kuruka,nikashika na kuinjoi nako kwa mda then nkaacha kaende,, siwezi ogopa ndege wazuri ivo😊😊
 
Kweli kabisa
Tusiache kuwakumbusha uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…