Pale Bungeni simuoni Mbunge wa kuichambua ripoti ya CAG baada ya kukosekana Zitto Kabwe na wabunge wa CHADEMA

Nyinyi si ndio mlikuwa mnamsapoti Jiwe kupora uchaguzi ili bunge lote liwe kijani kibichi , faida yake ndio hiyo sasa .
 
Duh ! Angalau akili zimeanza kukurudia.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Salute
 
na tulichaguana ndugu yangu mmhhh yatatukuta mambo sasa ..haki ya Mungu wanasema OMBA KUSIKUCHE ndo hii sasa
Leo ndio wataanza kukaangana, ngoja tusubiri tuone yaliyomo
 
Y Yupo Msukuma na Kibajaji watajadili tu na itaafikiwa!!
 
Mliwachagua wa nn kama mlikuwa mnalijua hilo?tatizo ss watz hatuna ujasiri halafu ni wepesi wa kudadisi mambo ambayo wameyafanya wao wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…