Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Nyinyi si ndio mlikuwa mnamsapoti Jiwe kupora uchaguzi ili bunge lote liwe kijani kibichi , faida yake ndio hiyo sasa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh ! Angalau akili zimeanza kukurudia.Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.
Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.
Hao niliowataja unapofika wakati wa uchambuzi wa maswala ya kitaalamu iwe uchumi, sheria au fedha huwa na udadisi wa kitaaluma siyo kishabiki.
Ripoti ya CAG iliyowasilishwa kwa mh Rais Samia leo inahitaji hoja nyingi za kibobezi/ kidadisi lakini sidhani kama akina Babu Tale na Nusrat Henje wana viwango hivyo.
Itoshe tu kusema wabunge wengi wa sasa wana uwezo mdogo na ujasiri hafifu wa kujenga hoja.
SaluteTukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.
Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.
Hao niliowataja unapofika wakati wa uchambuzi wa maswala ya kitaalamu iwe uchumi, sheria au fedha huwa na udadisi wa kitaaluma siyo kishabiki.
Ripoti ya CAG iliyowasilishwa kwa mh Rais Samia leo inahitaji hoja nyingi za kibobezi/ kidadisi lakini sidhani kama akina Babu Tale na Nusrat Henje wana viwango hivyo.
Itoshe tu kusema wabunge wengi wa sasa wana uwezo mdogo na ujasiri hafifu wa kujenga hoja.
na tulichaguana ndugu yangu mmhhh yatatukuta mambo sasa ..haki ya Mungu wanasema OMBA KUSIKUCHE ndo hii sasaMtajijua wenyewe
unamsemea gwaji boyyyyyyyy ..mtu mbadi sana huyo atatusemea kaka usijaliRashid wa Kawe na Jah people wa Makambako wanatosha
Mitano tena
Naona ushakuwa mdogo kama piritoni na akili zinaanza kukurudi,na bado.Tusibeti bwashee wacha wakati utaradadi!
Babu Tale na Kinanasi
Nitakujibu baada ya arobaini ya mzee!Naona ushakuwa mdogo kama piritoni na akili zinaanza kukurudi,na bado.
Leo ndio wataanza kukaangana, ngoja tusubiri tuone yaliyomona tulichaguana ndugu yangu mmhhh yatatukuta mambo sasa ..haki ya Mungu wanasema OMBA KUSIKUCHE ndo hii sasa
Jumlisha Jaa people wa makambakoYupo Msukuma na Kibajaj .... haaaaaa haaaaaa wazee wa mitano tena.Halafu umemsahau Askofu Rashid.
Yupo Msukuma na Kibajaji watajadili tu na itaafikiwa!!Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.
Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.
Hao niliowataja unapofika wakati wa uchambuzi wa maswala ya kitaalamu iwe uchumi, sheria au fedha huwa na udadisi wa kitaaluma siyo kishabiki.
Ripoti ya CAG iliyowasilishwa kwa mh Rais Samia leo inahitaji hoja nyingi za kibobezi/ kidadisi lakini sidhani kama akina Babu Tale na Nusrat Henje wana viwango hivyo.
Itoshe tu kusema wabunge wengi wa sasa wana uwezo mdogo na ujasiri hafifu wa kujenga hoja.
Mliwachagua wa nn kama mlikuwa mnalijua hilo?tatizo ss watz hatuna ujasiri halafu ni wepesi wa kudadisi mambo ambayo wameyafanya wao wenyewe.Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.
Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.
Hao niliowataja unapofika wakati wa uchambuzi wa maswala ya kitaalamu iwe uchumi, sheria au fedha huwa na udadisi wa kitaaluma siyo kishabiki.
Ripoti ya CAG iliyowasilishwa kwa mh Rais Samia leo inahitaji hoja nyingi za kibobezi/ kidadisi lakini sidhani kama akina Babu Tale na Nusrat Henje wana viwango hivyo.
Itoshe tu kusema wabunge wengi wa sasa wana uwezo mdogo na ujasiri hafifu wa kujenga hoja.
Hahhaaaa.ndio ccm mpya hiyo.Labda yule Dr Kimei na Daktari Tulia!
Hebu fikiria Jaffo kwa mfano ripoti hata hajaisoma anawafukuza kazi wakaguzi wa ndani!!