Pale Bungeni simuoni Mbunge wa kuichambua ripoti ya CAG baada ya kukosekana Zitto Kabwe na wabunge wa CHADEMA

Mkuu kwa hiyo Marehemu alituingiza chaka[emoji16]...

Mende zimeanza kutoka kabatini..


Ila usijali pole pole yupo atatusaidia,kuichambua kama ilivyokua kwenye ile 1.5trilioniView attachment 1737036
Huyu nilimfuta kabisa baada ya;
  • Msigwa kumtaja alihitaji uroda kwa baadhi ya watendaji wake
  • Aliwasaliti akina Mzee Warioba na wengineo wa BMK
  • Kujivunia V8 za chama badala ya kufikiria maisha ya watanzania masikini
 
Wachambuz watapatikana wengnehhatakabla ya hao walikuwepo wengine na walipita
Halafu hawana ubora wowote kama walishindwa mtihan mdogo wa kurud tena bungen
 
Mnyika,mbowe ,lema ,sugu n.k...wa weledi gani wa kuchambua ripoti ya CAG
 

Sasa hivi hakuna mtu mwenye akili timamu anafuatilia bunge. Bunge la kweli liko huku mitandaoni, huko bungeni waendelee kula posho kisheria, lakini hamna mtu muelewa anafuatilia hayo majizi ya kura.
 
Hahaa wanamuonea kwel mluguru mwenzngu
 
Uchaguzi ulipita mmeteka watu, mmebambikizia watu mikesi kesi ya kumbuba bumba, mmeiba kura haya sasa pambaneni na hali yenu!!

Si mlitaka muwe wenyewe tu kwa 100%
 
Itachambuliwa Kama karanga na kina Babu tale, Kibajaji, MPUSH, mwanafaaa, yule aliyeshindwa kuapa, Mzee Halima na huyu Nani huyu anaye penda kuingia kunako chumvi
Mwanangu huendi mbinguni,duh!
 
Unataka kusema wananchi waliowachagua wabunge wao kwa kishindo cha asilimia 90 ni wajinga?
Wananchi hao siyo wajinga, na wala hawajawahi kuwa wajinga. Wananchi walichagua wabunge wanaofaa kuwa wabunge,walitimiza wajibu wao. Lakini wanaoamua nani ashinde/atangazwe mshindi siyo hao wananchi. Kumbuka Mbowe aliambiwa na OCD "huwezi kushinda wewe hata ufanye nini"!. Kwa hiyo ule ulikuwa siyo ushindi wa kishindo bali wizi wa kishindo.
 
Hata siamini kuwa ni wewe johnthebaptist!
Ukiweka unafiki pembeni, kumbe uko njema kichwani.
 
Lakini mlishangilia sana walipoporwa ushindi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…