Benjamin safari
New Member
- Sep 10, 2020
- 4
- 0
Wabunge wasomi Bungeni wako wengi Sana, tena wa kila fani ukianza na uchumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu nilimfuta kabisa baada ya;Mkuu kwa hiyo Marehemu alituingiza chaka[emoji16]...
Mende zimeanza kutoka kabatini..
Ila usijali pole pole yupo atatusaidia,kuichambua kama ilivyokua kwenye ile 1.5trilioniView attachment 1737036
Huyu nguchilo hawezi kuandika haya maneno yenye hekima kiasi hiki kuna shida mahali seriousAccount imedukuliwa hii, ni wewe kweli?
Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.
Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.
Hao niliowataja unapofika wakati wa uchambuzi wa maswala ya kitaalamu iwe uchumi, sheria au fedha huwa na udadisi wa kitaaluma siyo kishabiki.
Ripoti ya CAG iliyowasilishwa kwa mh Rais Samia leo inahitaji hoja nyingi za kibobezi/ kidadisi lakini sidhani kama akina Babu Tale na Nusrat Henje wana viwango hivyo.
Itoshe tu kusema wabunge wengi wa sasa wana uwezo mdogo na ujasiri hafifu wa kujenga hoja.

Kwa uandishi huu yawezekana wewe ndio kibajaji!Mnyika,mbowe ,lema ,sugu n.k...wa weledi gani wa kuchambua ripoti ya CAG
[emoji23][emoji23][emoji23]
Alaf Mbona Babu Tale anakua mfano kwenye mambo mengi ya msingi yahusuyo bunge?[emoji23][emoji23][emoji23] Kama jimboni kwake wapo watu wa design yake mlitakaje?[emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway This time anaweza toa hoja moja amazing na hamtaamin masikioni mwenu[emoji23][emoji23][emoji23]
hivi Jane Lowassa yuko wapi au atakuwa mmoja wa walio pass away kwenye hii seasons
Hakuna wakupoteza mda kwakusikiliza huyo anaeongelea mitandaoniii. Sisi tutawasikia wabunge wetu wapendwaa.
Mwanangu huendi mbinguni,duh!Itachambuliwa Kama karanga na kina Babu tale, Kibajaji, MPUSH, mwanafaaa, yule aliyeshindwa kuapa, Mzee Halima na huyu Nani huyu anaye penda kuingia kunako chumvi
Wananchi hao siyo wajinga, na wala hawajawahi kuwa wajinga. Wananchi walichagua wabunge wanaofaa kuwa wabunge,walitimiza wajibu wao. Lakini wanaoamua nani ashinde/atangazwe mshindi siyo hao wananchi. Kumbuka Mbowe aliambiwa na OCD "huwezi kushinda wewe hata ufanye nini"!. Kwa hiyo ule ulikuwa siyo ushindi wa kishindo bali wizi wa kishindo.Unataka kusema wananchi waliowachagua wabunge wao kwa kishindo cha asilimia 90 ni wajinga?
Hata siamini kuwa ni wewe johnthebaptist!Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.
Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.
Hao niliowataja unapofika wakati wa uchambuzi wa maswala ya kitaalamu iwe uchumi, sheria au fedha huwa na udadisi wa kitaaluma siyo kishabiki.
Ripoti ya CAG iliyowasilishwa kwa mh Rais Samia leo inahitaji hoja nyingi za kibobezi/ kidadisi lakini sidhani kama akina Babu Tale na Nusrat Henje wana viwango hivyo.
Itoshe tu kusema wabunge wengi wa sasa wana uwezo mdogo na ujasiri hafifu wa kujenga hoja.
Kwa uandishi huu yawezekana wewe ndio kibajaji!
Lakini mlishangilia sana walipoporwa ushindi waoTukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.
Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.
Hao niliowataja unapofika wakati wa uchambuzi wa maswala ya kitaalamu iwe uchumi, sheria au fedha huwa na udadisi wa kitaaluma siyo kishabiki.
Ripoti ya CAG iliyowasilishwa kwa mh Rais Samia leo inahitaji hoja nyingi za kibobezi/ kidadisi lakini sidhani kama akina Babu Tale na Nusrat Henje wana viwango hivyo.
Itoshe tu kusema wabunge wengi wa sasa wana uwezo mdogo na ujasiri hafifu wa kujenga hoja.
Account imedukuliwa hii, ni wewe kweli