Pale Bungeni simuoni Mbunge wa kuichambua ripoti ya CAG baada ya kukosekana Zitto Kabwe na wabunge wa CHADEMA



Dogo naona Umebadili GIA ANGANI>
 
Wewe na wenzako si ndo mlikua mnawapigia chapuo wapate Sasa tuko kwenye matokeo ya ushabiki wenu

Ndo Kwanza mwaka wa kwanza bado 4 ambayo hsijaguswa kabisa


Anyway tutajua tu rangi zenu harisi kwa Sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo ripoti ya CAG itachambuliwa vizuri sana Hamphrey Polepole
 
Wajameni yupo Humprey Polepole, aliwahi kuchambua 'vizuri' sana zile Trillion 2.4 zilivyotumika.
😂 😂 😂 tena with DIAGRAMS..
Nimecheekaa daaah!
Ila mwendazake alichotufanyia ni kuonyesha jinsi gani katiba ni mbovu.

Everyday is Saturday................................😎
 
Yupo babu Tale na mwanaFatuma
 
Johnthebaptist hastahili hata kulinganishwa na jingalao, wakudadavua, bia yetu na USSR. John hata akiamua kuandika ujinga, unaona kabisa kaamua kujifanya mjinga. Lakini hao wengine unaona kabisa kuwa ni wajinga na wanafiki.
Hahhaha ujinga haujifichi
 
Kwa mara ya kwanza umeandika kama Mtanzania mzalendo kabisa, kwenye maslahi mapana ya taifa letu tuweke pembeni ushabiki wa vyama vyetu.
 
Huyu jamaa yetu posho imekata
 
Hatutaki siasa tunataka matokeo. Kuanzia miaka 1961.kulikuwa na siasa nyingi hatujawahi kufika popote.
Hii nchi inahitaji utawala wa kigaidi haya masuala ya siasa ni ukinga tu. Kipindi cha mjerumani tulikuwa na miondo mbinu mingi sana kama reli maana unafanya kwa amri ukikataa ni bakora haya mambo ya haki haki cjui nini yanatuchelewesha haya[emoji23][emoji23]
 
Huyu jamaa yetu posho imekata
Hahahaaaa...... Kuna mambo ya kushabikia na kuna mambo ya kusimamia kweli.

Mtu kama Rajab Adadi hana kashfa yoyote tena kaongoza kura za maoni akakatwa na kuwekwa yule mwanaFA kwa sababu tu alipiga show ya Corona!

Sasa wanaletewa ukaguzi wa SGR na bwawa la Nyerere utasikia taarabu zao, bora hata angekuwemo tumbili mwenyewe badala ya mama tumbili!
 
Hizi dawa ulizotumia jana sina wasiwasi nazo kabisa 100%, umerudi upya kabisa na umeanza kuwa mzalendo wa kweli.
 
John acha zako bwana! Ina maana Deo Sanga na hata Msukuma na Lusinde hawawezi? Basi hakuna shida, Mwana FA na Kabula wako fiti na wataichambua kwa msaada wa Mh. Dorothea
Huyo Mwana FA kama alishindwa kuongea tuu kwenye kampeni ndio ataweza kuongea bungeni?
 
Yupo babu tale na mwanaefuei
 
Ya kushindwa kufua boxers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…