wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Hapo ndio moto utawaka sasa itajulikanaMaajabu ya awamu hii;
Ripoti itajadiliwa vizuri nje ya Bunge kuliko bungeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndio moto utawaka sasa itajulikanaMaajabu ya awamu hii;
Ripoti itajadiliwa vizuri nje ya Bunge kuliko bungeni.
Hakuna wakupoteza mda kwakusikiliza huyo anaeongelea mitandaoniii. Sisi tutawasikia wabunge wetu wapendwaa.Zito ameshasema anaichambua alafu soon atatarifu umma
WajaneTukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.
Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.
Hao niliowataja unapofika wakati wa uchambuzi wa maswala ya kitaalamu iwe uchumi, sheria au fedha huwa na udadisi wa kitaaluma siyo kishabiki.
Ripoti ya CAG iliyowasilishwa kwa mh Rais Samia leo inahitaji hoja nyingi za kibobezi/ kidadisi lakini sidhani kama akina Babu Tale na Nusrat Henje wana viwango hivyo.
Itoshe tu kusema wabunge wengi wa sasa wana uwezo mdogo na ujasiri hafifu wa kujenga hoja.
Aisee uko sahihi kabisa. Hakuna kichws pale cha kuipambanua bajeti. Hayupo kabisaaTukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.
Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.
Hao niliowataja unapofika wakati wa uchambuzi wa maswala ya kitaalamu iwe uchumi, sheria au fedha huwa na udadisi wa kitaaluma siyo kishabiki.
Ripoti ya CAG iliyowasilishwa kwa mh Rais Samia leo inahitaji hoja nyingi za kibobezi/ kidadisi lakini sidhani kama akina Babu Tale na Nusrat Henje wana viwango hivyo.
Itoshe tu kusema wabunge wengi wa sasa wana uwezo mdogo na ujasiri hafifu wa kujenga hoja.
Covid 19 si wapo wasomi wa kutosha
Sie tunasuburi ile Report ya Fedha zilizochotwa BOT kati ya Jan na March 2021
Mpwa wa Hayati atapona kweli?
ChidiboyYupo Msukuma na Kibajaj .... haaaaaa haaaaaa wazee wa mitano tena.Halafu umemsahau Askofu Rashid.
Mkuuu Yohane Mubatizaji ubarikiwe kwa kuwa mkweli.Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.
Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.
Hao niliowataja unapofika wakati wa uchambuzi wa maswala ya kitaalamu iwe uchumi, sheria au fedha huwa na udadisi wa kitaaluma siyo kishabiki.
Ripoti ya CAG iliyowasilishwa kwa mh Rais Samia leo inahitaji hoja nyingi za kibobezi/ kidadisi lakini sidhani kama akina Babu Tale na Nusrat Henje wana viwango hivyo.
Itoshe tu kusema wabunge wengi wa sasa wana uwezo mdogo na ujasiri hafifu wa kujenga hoja.
Akiishamaliza, kwa mahubiri mazuri, itabidi amfuate Mkuu wa Malaika aliyekuwa anakiimba sana hicho kifungu.
Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.
Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.
Hao niliowataja unapofika wakati wa uchambuzi wa maswala ya kitaalamu iwe uchumi, sheria au fedha huwa na udadisi wa kitaaluma siyo kishabiki.
Ripoti ya CAG iliyowasilishwa kwa mh Rais Samia leo inahitaji hoja nyingi za kibobezi/ kidadisi lakini sidhani kama akina Babu Tale na Nusrat Henje wana viwango hivyo.
Itoshe tu kusema wabunge wengi wa sasa wana uwezo mdogo na ujasiri hafifu wa kujenga hoja.
Hilo ni saa bovu kuna wakati linapatia majiraHuyu muda mwingine akili zinakua sawa tofauti na yule Wakudadavuwa na jingalao
Haya ni maoni yako wewe John au ya mzee Mgaya?
Wajameni yupo Humprey Polepole, aliwahi kuchambua 'vizuri' sana zile Trillion 2.4 zilivyotumika.Aisee uko sahihi kabisa. Hakuna kichws pale cha kuipambanua bajeti. Hayupo kabisaa
Alikuwa anajitetea zile. Ikamlazimu aende kwa mtaalamu wa hesabu akampa dokezoWajameni yupo Humprey Polepole, aliwahi kuchambua 'vizuri' sana zile Trillion 2.4 zilivyotumika.
[emoji38][emoji28][emoji28][emoji28]Hilo ni saa bovu kuna wakati linapatia majira
Tatizo la Mataga wa hapa JF unakuta wana multiple Identities kwahiyo unakuta Jane anafanya code switching tuhivi Jane Lowassa yuko wapi au atakuwa mmoja wa walio pass away kwenye hii seasons