Pale Bungeni simuoni Mbunge wa kuichambua ripoti ya CAG baada ya kukosekana Zitto Kabwe na wabunge wa CHADEMA

Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.

Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.

Hao niliowataja unapofika wakati wa uchambuzi wa maswala ya kitaalamu iwe uchumi, sheria au fedha huwa na udadisi wa kitaaluma siyo kishabiki.

Ripoti ya CAG iliyowasilishwa kwa mh Rais Samia leo inahitaji hoja nyingi za kibobezi/ kidadisi lakini sidhani kama akina Babu Tale na Nusrat Henje wana viwango hivyo.

Itoshe tu kusema wabunge wengi wa sasa wana uwezo mdogo na ujasiri hafifu wa kujenga hoja.
Wajane
 
Aisee uko sahihi kabisa. Hakuna kichws pale cha kuipambanua bajeti. Hayupo kabisaa
 
Covid 19 si wapo wasomi wa kutosha

Sie tunasuburi ile Report ya Fedha zilizochotwa BOT kati ya Jan na March 2021

Mpwa wa Hayati atapona kweli?
IMG_20210328_124145.jpg
 
Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.

Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.

Hao niliowataja unapofika wakati wa uchambuzi wa maswala ya kitaalamu iwe uchumi, sheria au fedha huwa na udadisi wa kitaaluma siyo kishabiki.

Ripoti ya CAG iliyowasilishwa kwa mh Rais Samia leo inahitaji hoja nyingi za kibobezi/ kidadisi lakini sidhani kama akina Babu Tale na Nusrat Henje wana viwango hivyo.

Itoshe tu kusema wabunge wengi wa sasa wana uwezo mdogo na ujasiri hafifu wa kujenga hoja.
Mkuuu Yohane Mubatizaji ubarikiwe kwa kuwa mkweli.
 
Yupo mdee na wenzake 18

Back
Top Bottom