Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siongelei acknowledge, mimi nimekutaka u- summerize ulichokikopi na kukiweka hapa.Kunukuu na kuweka hapa bila "acknowledgement" ya chanzo ni "plagiarism".
Mimi huwa nafanya "acknowledgement" ya vyanzo vyangu.
Ndo maana nimeweka chanzo cha uchambuzi wangu.
Mzee mbona povuUS ameweka dunia ktk uzani sawa hasa kudhibiti nchi zenye itikadi ya kiislamu ktk kutawala dunia.
Hizi nchi zingeweza kufanya dunia nzima imainamie wao. Kama mnatamani ulimwengu mzima uwe na itikadi zenu, tafuteni teknolojia mjisafirishe muende huko mwezini mkaishi.
Misri inasambaza silaha kwa jeshi wakati Urus inawapa silaha rapidly response squad.
I don't know how some qullible people are accusing the US in fact Us inafanya kazi kubwa ya kuziunganisha pande zinazohasimiana.
Bashir katika utawala wake alihisi uenda jeshi likaja kumpindua, akaamua kuunda kikosi(RPS) na kukipa nguvu Sawa na jeshi.
Leo bashar hayupo jeshi limeamua kuita kiongozi wa RPS ili waunde jeshi moja as nchi haiwezi kuwa na majeshi mawili but wameshindwa kukubaliana kwenye mgawanyo wa madaraka ndiyo vita imeibuka.
RPS anasema ni wakati wake wa kuongoza, jeshi nalo linatoa misimamo ile ile.
Sasa sijui habari za fulani walikutana na fulani zinatoka wapi.. Ikiwa insu ni kukutana Putin hajawai kutana na viongozi wa Us?.
SAMIA hakutani na viongozi wa Us? why msudani iwe hoja?
Wakati vita ya Ethiopia inapigana kuna wapumbavu wachambuzi wakawa wanaandika humu kuwa wanapiganishwa na US kwasababu tu wamejenga bwawa la umeme kitu ambacho US hai
halendi.
Yaani bwawa lenye thamani na ndege moja ya F15 moja ndiyo marekani ipate wivu!!
Bure k
Ondoa upumbavu na dharau bwawa la Ethiopia gharama zake ni 4.0 billion US$ au Euro 3.6 billion (zaidi ya Trilion 9) na hiyo F15 fighter jet ni 150 million US$ (around 350 billion) Kwa hiyo pamoja na mahaba ulonayo Kwa US mjitahidi kuwa na takwimu siyo mnaleta hadithi za vijiweni kama unabisha tafuta majibu tofauti na hayo yangu tuone.Misri inasambaza silaha kwa jeshi wakati Urus inawapa silaha rapidly response squad.
I don't know how some qullible people are accusing the US in fact Us inafanya kazi kubwa ya kuziunganisha pande zinazohasimiana.
Bashir katika utawala wake alihisi uenda jeshi likaja kumpindua, akaamua kuunda kikosi(RPS) na kukipa nguvu Sawa na jeshi.
Leo bashar hayupo jeshi limeamua kuita kiongozi wa RPS ili waunde jeshi moja as nchi haiwezi kuwa na majeshi mawili but wameshindwa kukubaliana kwenye mgawanyo wa madaraka ndiyo vita imeibuka.
RPS anasema ni wakati wake wa kuongoza, jeshi nalo linatoa misimamo ile ile.
Sasa sijui habari za fulani walikutana na fulani zinatoka wapi.. Ikiwa insu ni kukutana Putin hajawai kutana na viongozi wa Us?.
SAMIA hakutani na viongozi wa Us? why msudani iwe hoja?
Wakati vita ya Ethiopia inapigana kuna wapumbavu wachambuzi wakawa wanaandika humu kuwa wanapiganishwa na US kwasababu tu wamejenga bwawa la umeme kitu ambacho US hai
halendi.
Yaani bwawa lenye thamani na ndege moja ya F15 moja ndiyo marekani ipate wivu!!
Bure kabisa
Bwawa jipya la Ethiopia Limejenwa Kwa 4.0 Billion US$ au Euro 3.6 billion sawa na zaidi ya Tsh. 9 Trillion na hiyo Ndege F15 Inauzwa sh. 150 million US$ sawa na tsh around 350 Billion Kwa hiyo pamoja na mahaba yenu Kwa US mkisha maliza stori zenu za vijiweni muwe mnatafiti kidogo taarifa zenu kabla ya kuzileta JF.Misri inasambaza silaha kwa jeshi wakati Urus inawapa silaha rapidly response squad.
I don't know how some qullible people are accusing the US in fact Us inafanya kazi kubwa ya kuziunganisha pande zinazohasimiana.
Bashir katika utawala wake alihisi uenda jeshi likaja kumpindua, akaamua kuunda kikosi(RPS) na kukipa nguvu Sawa na jeshi.
Leo bashar hayupo jeshi limeamua kuita kiongozi wa RPS ili waunde jeshi moja as nchi haiwezi kuwa na majeshi mawili but wameshindwa kukubaliana kwenye mgawanyo wa madaraka ndiyo vita imeibuka.
RPS anasema ni wakati wake wa kuongoza, jeshi nalo linatoa misimamo ile ile.
Sasa sijui habari za fulani walikutana na fulani zinatoka wapi.. Ikiwa insu ni kukutana Putin hajawai kutana na viongozi wa Us?.
SAMIA hakutani na viongozi wa Us? why msudani iwe hoja?
Wakati vita ya Ethiopia inapigana kuna wapumbavu wachambuzi wakawa wanaandika humu kuwa wanapiganishwa na US kwasababu tu wamejenga bwawa la umeme kitu ambacho US hai
halendi.
Yaani bwawa lenye thamani na ndege moja ya F15 moja ndiyo marekani ipate wivu!!
Bure kabisa
IQ yako inaonekana kidogo imekomaa hasa kwa jinsi unavyodadavua haya mambo, naweza kusema nimejifunza vitu vingi kutoka kwako kupitia hii mada maana nimefuatilia kila nukta ya andishi lako kwenye hii thread.., naomba tu nikuulize kitu kimoja.., unaposema kwamba hii vita ya Sudani ni mgogoro wa wasudani wenyewe waliojitengenezea wao kwa muda mrefu..., wakati huohuo unadai misri inatuma silaha kwa majeshi ya serikali..,na urusi inawahami RSF, huoni kwamba ni kama unajikanyaga?Kwamba hili andishi lako halionyeshi upande uliobeba chanzo?.
Kwamba sijaelewa unachojaribu kufafanua kile unachokiita "DUNIA INAPOFUMBWA?"
andishi lako lipo wazi na linaonyesha ni nani ni tatizo na chanzo katika hii vita na ushahidi wako mkubwa ni fulani ALIWAI KUONGEA NA FULANI NA ALIWAI KUTEMBEMBELEA SEHEMU FULANI.
Indirectly unaonyesha US ipo nyuma ya vita ya Sudan kwasababu kuna kiongozi A ama B aliwai kwenda US...
Kutoiongelea Urusi vile ina supplie silaha kwa RPS ama Misri inavyowapa ipa silaha jeshi la sudani si jambo la bahati mbaya kwako bali ni maksudi na ulijua ukifanya hivyo utachanganya adhira na itashindwa elewa nani ni tatizo na chanzo badala yake umejikita kueleza na kusisitiza fulan aliwai kuongea na kiongozi wa Marekani mara ooh aliwai kwenda marekani.
Kwako fulan kuongea na fulani ni jambo la hatari zaidi kuliko Urusi inavyowapa silaha RPS.
Kwako Fulani kwenda marekani ni hatari zaid katika vita ya sudan kuliko jeshi la Misri linavyotoa silaha kwa jeshi la Sudan.
Ujaongelea vile Urusi na china walivyohodhi Rasimali za sudani na wao ndiyo wanakontroo almost ya kila kitu na hii haujaliacha kwa bahati mbaya bali maksudi ili kuoneza propaganda zako uchwara.
South Africa ina ties kubwa na Urusi wakati majority ya wawekezaji wake ni Raia wa Marekani na Ulaya na US haijawai ifanya chochote South African, sasa South Sudan kuna nini hasa kinaivuta US iingie vitani nchi ambayo rasilimali zake tayari zipo mikononi mwa Urusi na China?.
Jihadhali sana na mtu mweusi anaejifanya msomi(mjuaji) most of them ni wajinga kweri kweri.
Duh! [emoji28]Bwawa jipya la Ethiopia Limejenwa Kwa 4.0 Billion US$ au Euro 3.6 billion sawa na zaidi ya Tsh. 9 Trillion na hiyo Ndege F15 Inauzwa sh. 150 million US$ sawa na tsh around 350 Billion Kwa hiyo pamoja na mahaba yenu Kwa US mkisha maliza stori zenu za vijiweni muwe mnatafiti kidogo taarifa zenu kabla ya kuzileta JF.
IQ yako inaonekana kidogo imekomaa hasa kwa jinsi unavyodadavua haya mambo, naweza kusema nimejifunza vitu vingi kutoka kwako kupitia hii mada maana nimefuatilia kila nukta ya andishi lako kwenye hii thread.., naomba tu nikuulize kitu kimoja.., unaposema kwamba hii vita ya Sudani ni mgogoro wa wasudani wenyewe waliojitengenezea wao kwa muda mrefu..., wakati huohuo unadai misri inatuma silaha kwa majeshi ya serikali..,na urusi inawahami RSF, huoni kwamba ni kama unajikanyaga?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Fanya hivi.. Thamani ya bwawa Ethiopia ni Dola T 60.. Sasa kuniumiza vipi Marekani Ethiopia kuwa na bwawa la Dola T 60?.Bwawa jipya la Ethiopia Limejenwa Kwa 4.0 Billion US$ au Euro 3.6 billion sawa na zaidi ya Tsh. 9 Trillion na hiyo Ndege F15 Inauzwa sh. 150 million US$ sawa na tsh around 350 Billion Kwa hiyo pamoja na mahaba yenu Kwa US mkisha maliza stori zenu za vijiweni muwe mnatafiti kidogo taarifa zenu kabla ya kuzileta JF.
.?. Natumia Wefi ya kanisa so siwezi itumia kwa browser kila kinachotupwa mbele yangu.
Eleza kwa ulichokiona kwa hiyo clip.
ww ni mpumbavu hata ujui unacho kiongolea, kaa pembeni mrusi uache wenye akili wachambue hili okHuna haja ya kutoa kashfa kwani hiyo inaonyesha jinsi uwezo wako wa kufikiri ulivyo mdogo.
Kama huwezi kuielewa mada weye pita tu.
Hii mada yafikirisha sana ila waafrika kama wewe ni vigumu sana kuelewa.
Angalia Sudan ilipotoka na ilipo sasa hivi na huko endako.
Kwa kuwa mmeishalishwa sumu ya kupindisha ukweli na propaganda imekuingia, hutopata mawazo mbadala weye huna uwezo wa kung'amua kilichopo kwenye mgogoro huu.
Eeh?.Anaelezea namna ya CIA ilivyojiingiza Angola baada kupata uhuru na walivyopoteza influence yao kule Cambodia na Laos
Malighafi za Ukraine zinatakiwa na nani? Urusi au USA? Au wote lao moja wanatuzuga tu?HiI vita ya uchumi haijawahi muacha mwafrica salama. ..Somalia-gas,mafuta...DR Congo.-madini,Chad, Niger,Sudan,libya-hill zone linautajiri mkubwa sn wa madini,mafuta and gas ambayo wamagharibi wanayahitaji sn...mnavurugwa wao wanabeba Mali. ..Libya wamefibeba wapendavyo,Somalia ndio shamba Lao kabisa...Congo jamaa wanabeba kwenda ubelgiji. ..hata vita ya Ukraine ni malighafi zilizopo mlendio wanazozitaka
😂😂😂""
SANA UKRAINE INAWAPELEKA WAPI RAIA WAO [emoji23] [emoji23]
Eeh vipi?Eeh?.
Hapo ni vita Kati ya vikosi vya jeshi la serikali na vikosi vya janjaweed. Waache wamalizane kabisa wakishamalizana amani itarejea. Nao waonje utamu wa kuuwana kama malipizi ya kuwaua wasudani kusini.