Pale familia inapojeuka kuwa kikwazo kwenye ukombozi wa mtoto wa kike

Pale familia inapojeuka kuwa kikwazo kwenye ukombozi wa mtoto wa kike

Naantombe Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,253
Reaction score
15,748
Ni hivi jamani, kuna binti mmoja mdogo sana amemaliza elimu ya form IV mwaka 2017, niseme tu huyu binti ni mzuri sana, ana shape moja matata sana ambayo mwanaume yoyote rijali lazima uweweseke. Sasa hivi ndo anaenda kufikisha miaka 20 (now yupo kwenye 19). Binti mbichi haswaa.

Maendeleo hayana chama jamani, nikiri wazi nimefanikiwa kulala naye mara mbili, (naomba msinihukumu kwa hili).

Lakini baada ya kuwa kwenye mawasiliano na huyu binti, nikagundua ana character moja nzuri sana na ni mtu ambaye kama akiwezeshwa, anauwezo wa kufika mbali sana.

Kwao yeye ni mtoto wa pili kuzaliwa, wa kwanza ni dada yake.

Mimi baada ya kufanya dates kama 5 na huyu binti, ikawa kila siku namshauri ajaribu kufikiria future ya maisha yake, ikiwa ni pamoja na hata wazo la kufanya ujasiriamali mdogo mdogo, na nlikuwa tayari hata kumkopesha mtaji wa 100,000 (nilimuambia ntamkopesha na sio kumpa bure kwa kuwa nna maana yangu).

Nilimpa mawazo mengi sana ya ujasiriamali mdogo mdogo
1) Apike chakula nyumbani halafu apaki apeleke kufanya delivery
2) Apike karanga halfu apaki afanye delivery kwenye maduka
3) Akachukue nguo za bei rahisi ilala halafu akatembeze eneo analoishi kule lazima atapata chochote.

Hizo ni biashara ambazo kwa yule binti zingeweza kumtoa mapema, ukizingatia elimu yake na mazingira anayoishi. Na mimi nilimchorea plan kabisa kwamba, hizo ni biashara ambazo haziwezi kumnyima hata 10,000 kila siku.

Baada ya kumshauri hivi, akasema ngoja akamshirikishe dada yake na familia kwa ujumla (mama na baba)

Ebana eeeh, yaliyotokea huko ndo yamenifanya kuleta huu uzi hapa.

Advertise kwanza, amemuambia sista ake kuhusu wazo la kufungua biashara, sista ake akamuambia, biashara sahivi ngumu inahitaji mtaji sio chini ya milioni moja' Dogo tayar akadata.

Kuja kuwaeleza wazee wake (baba na mama), ndo akazidi kudata zaidi, full kukatishwa tamaa. (Mara mama ake akamwambia subiri ntakutafutia kazi)

Yaani hakuna hata mmoja ambaye alionesha hata kumpa support mbali na mtaji, na ni mtoto wa kike anaenda miaka 20 na yupo tu nyumbani lakini familia wala haioneshi kujali chochote kuhusu maisha ya huyu mtoto.

Juzi demu ananipigia simu analia kweli, na message kibao, kwamba tayar ameshakata tamaa ya kufanya chochote maana familia yake haimsupport hata kwenye mawazo tu sembuse kumuongezea mtaji.

Imenifikirisha sana kwa kweli, maana ni binti mdogo ambaye tayar anaonesha ari ya kubadilisha maisha yake, lakini mwanzo tu ashakutana na vikwazo tena kwa watu wake wa karibu ambao kimsingi wangepaswa kumpa support.

Itachukua muda sana bara la Afrika kuendelea, na kama ni maendeleo, itabidi kuwe na mabadiliko makubwa sana at family level. Wauaji wakubwa wa ari na ndoto, wananzia kwenye familia zetu na mbaya zaidi ni wale wale wapendwa watu, kaka, dada, mama, na baba.

Inakasirisha sana kwa kweli
 
bonyeza *1001*52# kupata utatuzi wa malalamiko yako.
 
Watu wanasubiri mahari ghafla unataka kukatisha ndoto zao [emoji2]. Wanajua akisha anza biashara hatakubali kuolewa.
 
kujifanya una uchungu sana na watoto wa familia za watu kuliko wazazi wake ni ujinga usio na kipimo.
Unazidi kudhihirisha ulivyo mjinga na Selfish.. Ingekuwa humu duniani hakukuwa na watu wa kutizama welfare za wengine angali sio ndugu zao, hata wewe usingekuwepo hapo ulipo. Ficha ujinga wako
 
Watu wanasubiri mahari ghafla unataka kukatisha ndoto zao [emoji2]. Wanajua akisha anza biashara hatakubali kuolewa.
Itakuwa aisee.. lakini ni mtizamo finyu sana aisee.. dunia yenyewe hii ya sasahivi, ataishia kuzalishwa tu na asiolewe... ni hasara, ni bora ajitegemee anaweza kutengeneza pesa akasaidia familia yake.

Vyovyote vile, kama wazazi wake ndo wanatarget ya kula mahari, basi nahisi itakuwa ni umaskini wa mawazo ndo unawasumbua.
 
Unazidi kudhihirisha ulivyo mjinga na Selfish.. Ingekuwa humu duniani hakukuwa na watu wa kutizama welfare za wengine angali sio ndugu zao, hata wewe usingekuwepo hapo ulipo. Ficha ujinga wako
tatizo uzi wako umeandika direct kuwalaum wazaz wake bila kuheshim maamuz yao, unadhani wao ni wajinga kumkatalia? au mawazo yako mafupi ndo yamekupa judge ya kijuha
 
tatizo uzi wako umeandika direct kuwalaum wazaz wake bila kuheshim maamuz yao, unadhani wao ni wajinga kumkatalia? au mawazo yako mafupi ndo yamekupa judge ya kijuha
Tatizo la Afrika ni kwamba watu wanaona kama wazazi ni Miungu, wazazi ni binadamu tu wakawaida, just kwa sababu wamepata heshima ya kukuzaa sio guarantee kwamba kila wanachosema ni sahihi kwenye maisha yako.

Ndo mana mtu ukifa hauzikwi na mzazi wako, kuna maana kubwa sana hapo, kwamba hapa duniani unaishi maisha yako. Usipoweza kunyambua hii, utajua ni kwanini mzazi wako ambaye ni maskini hawezi kukupa ushauri wa wewe kuwa tajiri.

Najua wewe mkuu huwezi kunielewa maana inawezekana wewe upo kwenye huu mfumo wa kizandiki wa Kiafrika
 
nafasi ya mzazi ni ya pekee sana hasa unapokua bado upo chini yao, imagine huyo dogo awe mwanao then akutane na njema imgegede na kumpa mikakati ambayo wewe haukubaliani nayo alafu yeye akafuata alivyoambiwa na njemba, wewe kama mzazi utamchukuliaje ukizingatia mpaka amefika hapo umegaramia kila kitu
 
Back
Top Bottom