Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Chige achana na huyo lara hana lolote ni wale wale tu unampa maileji bure
 
Tatizo la mademu wengi ni ulimbukeni, hawana fikra pana na wala hawana wanalolijua zaidi ya kuwa kwenye mahusiano. Kujiongeza na kutaka kutafuta kwa kuvuja jasho hawataki na wanataka mtelemko. I wish kama wangetambua maisha ni kupambana na wawe bize kusaka hela kwa kujishughulisha, wasingekuwa abused hivyo. Mtu unataka ukae nyumba nzuri, uwe unaletewa kila kitu, upate hela za kustarehesha marafiki, na ule bata za kufa mtu, uwe na wardrobe iliojaa expensive stuffs, uwe na gari inayobamba mtaani kwa kutumia huruma wanaume. Hujui kutafuta cha kwako, hata mafuta yakiisha kwenye gari unaomba hela, si usenge huo? Ukiachwa, unahaha, hujui hata pa kuanzia. Basi kuwa na heshima kwa wanao kuwezesha basi, heshima f, utaachwa kupigwa? Utapigwa tu, lazima upigwe. Huna thamani, na huwezi thaminiwa!

Lakini sheria inakuthamini na kukulinda kama wanawke wengine hata kama una danga. Haijapambanua wanawake flani ndo inawalinda na flani pigeni tu. Hapanaaaaa. SO VODA KAMA BRAND INAYOHESHIMU KATIBA NA HAKI ZA WANWAKE WAMEBUGI KUWA NA WATU WENYE LONG HISTORY OF PUBLIC DOCUMENTED VIOLENCE AGAINST WOMEN.
 
LIKE I KEEP TELLING YOU IS YOU DONT MATTER IN ALL THIS. WHAT MATTER JE KUNA DOCUMENTED REPORTS ZA DAI VIOLENCE AGAINST WOMEN? ZIPO HIO MOJA ZIPO NYINGI TU ONLINE. NA JE NI DOCUMENT GANI? GAZETI! INTERVIEWS SO THE VIOLENCE WAS PUBLICY RECORDED. BAAAAAAAAAAAAAAASSSSSSSSSS.

Mimi nipo hapa TO MAKE VODA SEE. Nimesema Jipu la Cosby lilichukua 40 yrs huko US hapa Bongo inaweza chukua hata 100 years, Tuombe uzima tu but I AM DEDICATED FOR THIS TASK.
Again with irrelevant examples!!
 
Chige achana na huyo lara hana lolote ni wale wale tu unampa maileji bure

chinge hawezi kuresist kunihold responsible for crimes committed by Mange and the crimes i comitted against Zali. HAHAHAAAAAA! Anaweza akawa hajui kunibana angle moja anatapatapa but ana vi valid points. Mwache bwana anipe wasaha wa kujisafisha na kumsafisha shoga angu Mange. Hahahahaaaaa!

Jana kapewa ushauri sanaa akikaa anajikuta karudi ulingoni
 
Ujue hii ishu inaenda sambamba na ishu ya selflove and selfhatred, mtu kama anashindwa kutofautisha hivi vitu viwili basi hawezi kunotice hata kama yanatokea ktk mazingira yake.

Level ya selfhatred yetu sisi wabongo iko juu sana, hatujithamini katika ngazi nyingi za msingi. Now tell me kama mtu anajifanyia self-abuse na anaona sawa atanotice vip mtu baki akifanyiwa abuse?!😱😱

Dai anawaabuse sana wadada. Lara1 yuko sahihi, tusilete uteam mavi mavi kwenye mambo ya msingi.
 
Again with irrelevant examples!!

Irrelevant is state of perception! Hahahaaaaaaaa! Supposedly ingekuwa relevant kwako WHAT WOULD HAVE HAPPENED? NOTHING!!!!!!! SEE THE IRONY?
 
Hahahaaaaaaaaaa! MANGE ITAKUWA ALIKUCHUKULIA BWANA SI BUREE MAANA ALL YOU THINK IS MANGE MANGE AND MORE MANGE.

Mimi just like you I DONT MATTER I AM JUST A WHISTLE BLOWER. It doesnt matter hata role model wagu angekuwa Yesu. Haya mambo yashatendeka and WE (ME AND YOU ARE INSIGNIFICANT IN ALL THIS)
Naona umeanza matusi... KWAHERI! Si kwamba siwezi matusi bali naepusha shari!! This's kind of favor I occasionally give out... na ukiona hivyo fahamu nimekuheshimu and remember, if you wanna be respected learn how to respect yourself.

STAY BLESSED!!
 
Ujue hii ishu inaenda sambamba na ishu ya selflove and selfhatered, mtu kama anashindwa kutofautisha hivi vitu viwili basi hawezi kunotice hata kama yanatokea ktk mazingira yake.

Level ya selfhatered yetu sisi wabongo iko juu sana, hatujithamini katika ngazi nyingi za msingi. Now tell me kama mtu anajifanyia self-abuse na anaona sawa atanotice vip mtu baki akifanyiwa abuse?!😱😱

Dai anawaabuse sana wadada. Lara1 yuko sahihi, tusilete uteam mavi mavi kwenye mambo ya msingi.

Ndaga fijooo baba, Ndaga fijooooooo!

Ndo maana nasema twende nao mdogo mdogo self hatred ni result ya mazingira mtu aliekulia ya watu kumuona ni nothing kabisaaaaaaa. Na yeye anaanza kujiona nothing vile vileeee. Hana thamani kabisaaa. Na anatumia nguvu nyingi kunifosi mimi nijione nothing piaaaaaaa. Hahahaaa!

Sasa mimi navogoma kujiona nothing anafunguka huyu boya Lara kwanini hajioni nothing? Kwani ana nini? Then akili inamfunguka zaidi kadri mimi navokomaa kujitutumua kuprove sio nothing. Watu wanakubali mimi sio nothing anakuwa on cross roads, is she nothing or not?

Anaanza kuji question AM I NOTHING AU BASI TU NIMELISHWA KANYA BOYA? Why lara few minutes ago was nothing and now she is not nothing? Kumbe huu kujiona nothing ni state of mind tu. Anaanza kujikusanya na kuanza kupata confidence. Anaondokana na woga wa kiboyaaa. It takes time.
 
Naona umeanza matusi... KWAHERI! Si kwamba siwezi matusi bali naepusha shari!! This's kind of favor I occasionally give out... na ukiona hivyo fahamu nimekuheshimu and remember, if you wanna be respected learn how to respect yourself.

STAY BLESSED!!
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAA! Spare me the sentiments, kwa hio kumchukulia mtu bwana ni bonge la tusi kwako. No wonder ile mitusi ya uturn ilikudazzle.

It was nice having you here. Thanks for your contributions.
 
Nishaachana nae for good manake ameshaanza matusi ya kuchukiza! Naachana nae kuepusha shari.
I BET! Hahahaaaa! Hii mara ya 3. Anyway for now i give you benefit of the doubt.
 
Ninachomkubali huyu mtu ni kwamba hata muandike kiasi gani hata aponswe kiasi gani yeye anapiga kazi na anafanikiwa kwelikweli.

Angekua na huyo Wema sidhani kama angefika mbali hivi mtu anaishi kimaigizoigizo tu hapa mjini unafikiri utaendelea ukiwa na mtu kama huyo.
 
wembeee

Hahahahaaaaaaaaaa! Bora hata ningepewa hi $200 basi sijapewa hata 10. Chuki zangu binafsi na Dai zilimshika wema apigwe kama mwizi, chuki zangu binafsi zilimshika Debby abakwe tani ya mbakaji. Chuki zangu zimemtorosha mtuhumiwa.

Ama kweli chuki zangu hizi zina nguvu ya kiganga. HAHAHAAAAAAAAAA!
 
Ninachomkubali huyu mtu ni kwamba hata muandike kiasi gani hata aponswe kiasi gani yeye anapiga kazi na anafanikiwa kwelikweli.
Angekua na huyo Wema sidhani kama angefika mbali hivi mtu anaishi kimaigizoigizo tu hapa mjini unafikiri utaendelea ukiwa na mtu kama huyo.

Jamani hata kazi Chriss B, Chriss brown for shizzle na Bill Cosby, Babu lao la Cosby show kazi waliopiga si ndogo ila walipokosea jamii iliwarekebishaaaa. WHATEVER YOU DID IN DARKNESS MUST COME TO LIGHT.
 
Nakubaliana na wewe dada Lara lakini unaangalia na mtu unayesema ameonewa,mikwaruzano kwenye mahusiano ni kitu cha kawaida walikua na mahusiano na mmoja alipenda kuanika kila kitu mwingine alikua serious.na huyo wa kuanika kila kitu ana mahusiano mengine mengi ambayo ambayo hayajadumu hapo tunajua tatizo lilikua kwa nani.
Mi nadhani star kama k-lyn,Stara,Monalisa ukasema wameonewa hata wanawake wenzio watakuunga mkono na hata barabarani wanaweza kuingia wamevaa tshirt kupinga uonevu huo
Hawa type ya akina wema mtaishia instagram na facebook tu.
 
SWALA SI KUITAFASIRI HII MAKALA YAKO,BALI NI NAMNA ULIVYOCHANGANYA LUGHA,KUNA WENGINE HAWATAELEWA UJUMBE WAKO HUU MZURI

Kweli kabisaa kaka yangu ndo maana nikakuomba kiroho safi nisaidie na hilo la kutafsiri.
 
Nakubaliana na wewe dada Lara lakini unaangalia na mtu unayesema ameonewa,mikwaruzano kwenye mahusiano ni kitu cha kawaida walikua na mahusiano na mmoja alipenda kuanika kila kitu mwingine alikua serious.na huyo wa kuanika kila kitu ana mahusiano mengine mengi ambayo ambayo hayajadumu hapo tunajua tatizo lilikua kwa nani.
Mi nadhani star kama k-lyn,Stara,Monalisa ukasema wameonewa hata wanawake wenzio watakuunga mkono na hata barabarani wanaweza kuingia wamevaa tshirt kupinga uonevu huo
Hawa type ya akina wema mtaishia instagram na facebook tu.

Iko hivi mdogo wangu, hata victim akiwa kimeo kiasi gani bado ana haki zote za kikatiba. Sijakataa Le Maddam ana issues zake kibao tu ila DAI KITENDO CHA KUNYANYUA MKONO TO PHISYCALLY ABUSE A WOMAN AME QUALIFY AS A WOMAN ABUSSER. Despite ilikuwaje au nini kilitokea.

SWALA NI KUWA ALIMU ABUSE MWENZIE, NA JAMII HUSUSANI MIMI SIJASAHAU WALA SITASAHAU LEO WALA KESHO.
 
fd9769ec31fb6ad493a13031c1ce25cf.jpg

Alafu unajifanya mtetezi wa wanawake!!
Huo wivu utakusababishia kiungulia ufe..
Ha ha ha hii comment ya lara bila shaka hata mwenyewe akiisoma leo anacheka
 
Iko hivi mdogo wangu, hata victim akiwa kimeo kiasi gani bado ana haki zote za kikatiba. Sijakataa Le Maddam ana issues zake kibao tu ila DAI KITENDO CHA KUNYANYUA MKONO TO PHISYCALLY ABUSE A WOMAN AME QUALIFY AS A WOMAN ABUSSER. Despite ilikuwaje au nini kilitokea.

SWALA NI KUWA ALIMU ABUSE MWENZIE, NA JAMII HUSUSANI MIMI SIJASAHAU WALA SITASAHAU LEO WALA KESHO.
Sasa we Mwanamke anashinda kwenye mitandao anatukana watu siku amepigwa kibao na mumewe tutahisi kua ulimi uliteleza akamtukana mume wake na mume wake alikua anamkanya kidogo na nadhani hili la kukanayana kwa njia hii halitaisha binafsi sina hulka ya kumpiga mwanamke lakini nimeshuhudia mikwaruzano ambayo nilijisemea hata kama ni mimi ningenyanyua kibao.
Na hili la feminism likiendekezwa sana ipo siku mwanamke atakupiga na mwiko ndani alafu wewe ukimzaba kibao atalia na kwenda kukushtaki.
 
Nadhani Watanzania huwa hatupendi wenzetu wafanikiwe na wakifanikiwa tu tunawachukia
Huyu mtoa mada ni hakika ana chuki na mlengwa
Jana Mlengwa kapost
Cocacola
Dstv
Redgold tomato
Vodacom
Fastjet

Hata hao wote wakijiondia bado anaefaidika ni Mlengwa maana watamlipa
 
Back
Top Bottom