Tatizo la mademu wengi ni ulimbukeni, hawana fikra pana na wala hawana wanalolijua zaidi ya kuwa kwenye mahusiano. Kujiongeza na kutaka kutafuta kwa kuvuja jasho hawataki na wanataka mtelemko. I wish kama wangetambua maisha ni kupambana na wawe bize kusaka hela kwa kujishughulisha, wasingekuwa abused hivyo. Mtu unataka ukae nyumba nzuri, uwe unaletewa kila kitu, upate hela za kustarehesha marafiki, na ule bata za kufa mtu, uwe na wardrobe iliojaa expensive stuffs, uwe na gari inayobamba mtaani kwa kutumia huruma wanaume. Hujui kutafuta cha kwako, hata mafuta yakiisha kwenye gari unaomba hela, si usenge huo? Ukiachwa, unahaha, hujui hata pa kuanzia. Basi kuwa na heshima kwa wanao kuwezesha basi, heshima f, utaachwa kupigwa? Utapigwa tu, lazima upigwe. Huna thamani, na huwezi thaminiwa!
Again with irrelevant examples!!LIKE I KEEP TELLING YOU IS YOU DONT MATTER IN ALL THIS. WHAT MATTER JE KUNA DOCUMENTED REPORTS ZA DAI VIOLENCE AGAINST WOMEN? ZIPO HIO MOJA ZIPO NYINGI TU ONLINE. NA JE NI DOCUMENT GANI? GAZETI! INTERVIEWS SO THE VIOLENCE WAS PUBLICY RECORDED. BAAAAAAAAAAAAAAASSSSSSSSSS.
Mimi nipo hapa TO MAKE VODA SEE. Nimesema Jipu la Cosby lilichukua 40 yrs huko US hapa Bongo inaweza chukua hata 100 years, Tuombe uzima tu but I AM DEDICATED FOR THIS TASK.
Chige achana na huyo lara hana lolote ni wale wale tu unampa maileji bure
Naona umeanza matusi... KWAHERI! Si kwamba siwezi matusi bali naepusha shari!! This's kind of favor I occasionally give out... na ukiona hivyo fahamu nimekuheshimu and remember, if you wanna be respected learn how to respect yourself.Hahahaaaaaaaaaa! MANGE ITAKUWA ALIKUCHUKULIA BWANA SI BUREE MAANA ALL YOU THINK IS MANGE MANGE AND MORE MANGE.
Mimi just like you I DONT MATTER I AM JUST A WHISTLE BLOWER. It doesnt matter hata role model wagu angekuwa Yesu. Haya mambo yashatendeka and WE (ME AND YOU ARE INSIGNIFICANT IN ALL THIS)
Ujue hii ishu inaenda sambamba na ishu ya selflove and selfhatered, mtu kama anashindwa kutofautisha hivi vitu viwili basi hawezi kunotice hata kama yanatokea ktk mazingira yake.
Level ya selfhatered yetu sisi wabongo iko juu sana, hatujithamini katika ngazi nyingi za msingi. Now tell me kama mtu anajifanyia self-abuse na anaona sawa atanotice vip mtu baki akifanyiwa abuse?!😱😱
Dai anawaabuse sana wadada. Lara1 yuko sahihi, tusilete uteam mavi mavi kwenye mambo ya msingi.
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAA! Spare me the sentiments, kwa hio kumchukulia mtu bwana ni bonge la tusi kwako. No wonder ile mitusi ya uturn ilikudazzle.Naona umeanza matusi... KWAHERI! Si kwamba siwezi matusi bali naepusha shari!! This's kind of favor I occasionally give out... na ukiona hivyo fahamu nimekuheshimu and remember, if you wanna be respected learn how to respect yourself.
STAY BLESSED!!
Ninachomkubali huyu mtu ni kwamba hata muandike kiasi gani hata aponswe kiasi gani yeye anapiga kazi na anafanikiwa kwelikweli.
Angekua na huyo Wema sidhani kama angefika mbali hivi mtu anaishi kimaigizoigizo tu hapa mjini unafikiri utaendelea ukiwa na mtu kama huyo.
Nakubaliana na wewe dada Lara lakini unaangalia na mtu unayesema ameonewa,mikwaruzano kwenye mahusiano ni kitu cha kawaida walikua na mahusiano na mmoja alipenda kuanika kila kitu mwingine alikua serious.na huyo wa kuanika kila kitu ana mahusiano mengine mengi ambayo ambayo hayajadumu hapo tunajua tatizo lilikua kwa nani.Jamani hata kazi Chriss B, Chriss brown for shizzle na Bill Cosby, Babu lao la Cosby show kazi waliopiga si ndogo ila walipokosea jamii iliwarekebishaaaa. WHATEVER YOU DID IN DARKNESS MUST COME TO LIGHT.
Nakubaliana na wewe dada Lara lakini unaangalia na mtu unayesema ameonewa,mikwaruzano kwenye mahusiano ni kitu cha kawaida walikua na mahusiano na mmoja alipenda kuanika kila kitu mwingine alikua serious.na huyo wa kuanika kila kitu ana mahusiano mengine mengi ambayo ambayo hayajadumu hapo tunajua tatizo lilikua kwa nani.
Mi nadhani star kama k-lyn,Stara,Monalisa ukasema wameonewa hata wanawake wenzio watakuunga mkono na hata barabarani wanaweza kuingia wamevaa tshirt kupinga uonevu huo
Hawa type ya akina wema mtaishia instagram na facebook tu.
Ila kakuambia kistaarabu huna haja ya kuquote thread yote hiyo kwa kaneno kamoja unatupa shida watumia simu.... Nitukane na mie
Ha ha ha hii comment ya lara bila shaka hata mwenyewe akiisoma leo anacheka
Alafu unajifanya mtetezi wa wanawake!!
Huo wivu utakusababishia kiungulia ufe..
Sasa we Mwanamke anashinda kwenye mitandao anatukana watu siku amepigwa kibao na mumewe tutahisi kua ulimi uliteleza akamtukana mume wake na mume wake alikua anamkanya kidogo na nadhani hili la kukanayana kwa njia hii halitaisha binafsi sina hulka ya kumpiga mwanamke lakini nimeshuhudia mikwaruzano ambayo nilijisemea hata kama ni mimi ningenyanyua kibao.Iko hivi mdogo wangu, hata victim akiwa kimeo kiasi gani bado ana haki zote za kikatiba. Sijakataa Le Maddam ana issues zake kibao tu ila DAI KITENDO CHA KUNYANYUA MKONO TO PHISYCALLY ABUSE A WOMAN AME QUALIFY AS A WOMAN ABUSSER. Despite ilikuwaje au nini kilitokea.
SWALA NI KUWA ALIMU ABUSE MWENZIE, NA JAMII HUSUSANI MIMI SIJASAHAU WALA SITASAHAU LEO WALA KESHO.