Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

duuuh hiii nchi yetu Tz inafuata haki siku zote thanks umelileta linafanyiwa uchunguzi USHAHIDI UPO?
 
HAHAHAAAAAAA! PITA MOROCCO KAMA BANGO HALIJATOKAAA, PITA MNAZI MMOJA. WAMETOA CAUSE KUNA WANTED FUGITIVE FOR RAPE CHARGES IN SQWEEDEN YAANI SERIOUSLY ULITEGEMEA VODA WATAYAACHA YALE MABANGO. MOJA LIMETOKA IN 5 DAYS TUONE KAMA LITABAKI HATA MOJA.

Sichakua hata kumi ya mtu kufanya dirty work yoyote dirty work ilifanywa Sweeden na Sinza mimi nime point out tu.

MIMI LIGI NDOGO ILA VODA IS A GOBAL BRAND TUONE SASA. NIKO HAPAAA KAMA NILIVOSEMA NDO KWANZA NIMEANZAAA NA MTU MDOGO MZURI I HAVE NOTHING TO LOSE.
 
hivi wewe lara unajua haki za wanawake kweli? eheheee haki ya mwanamke unayoisemea ni ipi kwa mfano
 
eti alibakwa ningelikuwa hyo dj na mimi ningeenda shtaki ndo alinibaka alipe hii damage
mtu ulale na mie kitanda kimoja asubuhi useme ulibakwa?
 
lara 1
yule msichana si alisema walilala nyumbani kwake? tena kitandani kwake? so alibakwaje ?
au sijui maana ya ubakaji
alimchukua kitandani kwake kama nani?
 
eti alibakwa ningelikuwa hyo dj na mimi ningeenda shtaki ndo alinibaka alipe hii damage
mtu ulale na mie kitanda kimoja asubuhi useme ulibakwa?

SASA KWANINI UNAKIMBIA UNAKUWA FUGITIVE? HAHAHAAA! Ungeenda hata kusema hukubaka ilikuwa a,b,c ila hudhubutuuu. your guilty wont allow you.
 
yule msichana si alisema walilala nyumbani kwake? tena kitandani kwake? so alibakwaje ?
au sijui maana ya ubakaji
alimchukua kitandani kwake kama nani?

HAHAHAAAAAAA! THE GENDER STIGMA IS REAL! Kwa hio kukukaribisha kwangu ndo unitatue marindaaa? Uniwekee madawa utatue marinda yote nikae tu kimya? Thubutuuuuuuu!

aLIKARIBISHWA AKAMUWEKEA MWENZIE DAWA NA KUMBAKA SASA AMBAVO HUYO VICTIM KASITIRI JIONGEZE WEWE MTU MZIMA.
 
kama victim hajaongea kumsitiri kama unavodai wewe unaongea kama nani ulikuwepo?
eti walikubaliana bao moja jamaa akapiga bao mbili ndo ubakaji...eheheeee we mchawi sana ujue
 
wembeee

HAHAHAAAAAAAA! Miraji huyo KIKWETE au JUMA wa mtaani kwenu? Kakuambi wewe huyo mwenyeweee wachaaaaaa kabisaaa. Enheeee! Yeye Miraji suluhu na mkewe kapata au anahangaikia suluhu ya mwenzie na mume wake mzungu? Wapige tu hatua ila la mbolea zile dolla za muitaliano wamezirudisha zoteeee.
 
kama victim hajaongea kumsitiri kama unavodai wewe unaongea kama nani ulikuwepo?
eti walikubaliana bao moja jamaa akapiga bao mbili ndo ubakaji...eheheeee we mchawi sana ujue

Hahahaaha! MIMI NAONGEA COZ ILE REPORT NIMEISOMA IN DETAILS TOFAUTI NA NYINYI. Na alivoweka public alitaka wenye macho matatu tuone between the lines. Sikuwepo ila DR kanithibitishia kiutaalamu kilichotokea.

WALIVOKUBALIANA BAO MOJA ULIKUWEPOOO? KUNA CHTA WAMEKUBALIANAAA? KWANINI MENEJA HAKUSEMA YOTE HADI BAADA YA REPORT YA HOSPITAL NA RB KUTOKA?
 
Utakua na interest tigo or co company nyngnge ya mawasiliano nje ya Voda.
Kwa nini usijikite kwenye sheria zaidi ili tuone kweli unatetea wanawake badala yake unang'ang'ania endorsement?
 
Utakua na interest tigo or co company nyngnge ya mawasiliano nje ya Voda.
Kwa nini usijikite kwenye sheria zaidi ili tuone kweli unatetea wanawake badala yake unang'ang'ania endorsement?

kWANINI NIJIKITE KWENYE SHERIA ILIHALI MIMI SIO MWANA SHERIAA? Mimi ni PR, na marketing is my thing. TO WIN THE GAME YOU MUST KNOW THE GAME FIRST. Sheria nazojua ni Business laws tu kama Sale of Goods Act sasahizo na jinsia wapi na wapi?

From PR side try me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…