Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Narudia haya ni maneno ya kijiweni Voda wana campaigns kibao...bango la diamond likitolewa it means it's another time for another campaign/promotion...kwahiyo acheni uzushiiiiiiiiiiiiii....No 1 Diamond supporter #SHUT UP LORA SIJUI NINI...!
 
Narudia haya ni maneno ya kijiweni Voda wana campaigns kibao...bango la diamond likitolewa it means it's another time for another campaign/promotion...kwahiyo acheni uzushiiiiiiiiiiiiii....No 1 Diamond supporter #SHUT UP LORA SIJUI NINI...!


Tulia ganzi iiingie.... Utang'olewa jino bila ganzi!
Shauri yako.
 
Your fighting the loosing battle my dear....Na chuki zako kwa diamond dili la voda limekuuma a huge deal is yet to come to this kid Diamond kuna ddili linakuja sijui utamzushia lipi maana kila kukicha mara umseme zari hana kitu mara diamond doesn't deserve this and that woman have a life mind your business if you have any.. maana unaonekana mtu wa tabloid mmpaka basi From Tmz to mediatakeout to Linda ikeji duh...Sometimes you sound intelligent but you always give me a reason to question your intelligebillity by supporting loosers like wema ssepetu
 
Naishi apa makumbumbushi sema morocco sehem gan lilikuwepo??
 
well said, tukipata wanawake kumi kama wewe itapendeza sana
 
Ukiulizwa ushahidi utasema global publishers....ha ha ha

Hawa hawa ambao Wema alienda kuwatukana wamemchafua kwa kuandika uongo ndio wakaaminiwe na Mahakama?!

Unan'chekesha.
 
Hata bibi wa miaka 70 kisheria bado ANALINDWA DHIDI YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA.

Hata kama hawajashtaki kama jamii tumeona ni kosa LAZIMA TUKEMEE.
Ningefurahi sanaaaaa tu Kama ungefungua kesi juu ya "Mtuhumiwa" katika mahakama unayo ipenda Halafu tuiache Sheria ifuate mkondo wake.Lakini hapana.
Weyeee ukaona uje Hapa JF kutupigia kelele zako.
Naanza kuamini weye siyo bure ila utakuwa
Team ROHO korosho
 
Naona hapo ww full WIVU tu huna lolote.maendeleo yake yanakujaza POVU kakupiga bonge la GEPU.umechelewa kumchafua bhana. Simbaaaaaaaaaa
 
Gazeti gani? Usituletee gazeti la udaku lakini koz wao wapo kumake up stories wauze
 
Joyce ana TV TALK SHOW, ana fun base kubwa, ni mtu muhimu sanaa kwenye juhudi za kumkomboa mwanamke Tanzania. Mimi nalenga hii talk show, what she does behind yeye na Mungu wake.
Kwani diamond dili za voda pia si kutokana na kazi yake...unamix mafile sasa
 
Kwa tulipofikia Lara1.

Inakubidi tuu uombe dunia ipasuke, kwa unayoyaongea na kinachoendelea baaasi mi nanyosha mikono,, ki ukweli pasipo na shaka unayaongea haya kwa hila na si kwa namna ya kuelimisha jamiiii.

Sababu
1. Tanzania na dunia kwa ujumla imejitahidi mno kupigania kukomeshwa kwa unyanyasi wa wanawake lakini wanawake wenyewe mmeshindwa kuunga mkono juhudi hizo,, mtakua mmeelewa dhana nzima ya kuwakomboa nyinyi. Inatia huruma ukipita vyuoni ukafuatiria mienendo ya wanawake au wadada ambao ndio wanapambaniwa wanachovyovifanya,, wewe ni shahidi katika hili naamini. Wamekua mabingwa wa kuwanyanyasa wanaume hasa kwa kuziacha tamu zao hadharani hivyo kuwa chanzo cha magonjwa mengi ya kisaikolojia kwa wanaume. Hayo yoote mmeshindwa kupambana na udharirishaji huo ila ulio uona ni wa Diamond ambaye pia unamnyanyasa kwa kuwa hana elimu ya kujipigania. Wewe ni nani katika hilo unawazidi wahanga unaowasemea??? Hujui kama na wewe hapo unawanyanyasa wanawake wenzio kwa kuwachafua hasa kwa kuwaona wao ni mbumbu hawajui lolote juu ya utu wao na kuutangazua uma katika hayo madhaifu yao unayotaka tuyafiche??
2. Si dhani kama unachokisemea kina maana halisi ya unachokilenga. Inaonekana hapa upo kimasilahi zaidi na si kwa kutetea wanawaje kama unavodai, kiufupi wewe sio jipu tena ni salatani,, hii kesi ya akina joketi na wema kunyanyaswa ilikuwepo kabla hata ya diamond kupewa tenda ya tangazo na vodacom,, leo kapewa ndio unaileta ulikuwa wapi kabla issue ilipokuwa hot!? Au lengo ni kutaka dogo anyanganywe dili upewe wewe ukitegemea atakufa masikini kwa chuki zako zilizojificha ndani ya kutetea haki za wanawake??
Ifike hatua mi naone tuwe tunakubali mafanikio ya mtu na ikiwezekana tutafute njia madhubuti ambazo zinaweza na sisi kutusaidia tukafika pale ambapo tunatamani tufike kama unavotamani kupiga dili la voda diamond akitoka.
NAVOMJUA WEMA NI MTU MWENYE BUSARA NA ASIYEPENDA KUONEWA NA KWA JINSI HIYO KAMA TUHUMA UNAZOMPA DIAMOND ZINGEKUA NA MASHIKO ANGESHACHUKUA HATUA MAPEMA MNO.

3. Umeshindwa kudhihirisha tuhuma zako kwa kina kutofautisha kati ya hisia zako juu ya diamond na uhalisia wa diamond juu ya hizo tuhuma. Kwa harakaharaka mtu atagundua nini unachomanisha mbali na huo mwamvuli wa kutetea haki za akina mama,, bora ungeongea ukweli kua ulikua na mtu ambaye ungetamani amege ka kitumbua hako ambako platnumz anakapata,, upo kama sehemu ya tangazo la mtu na hii sio hoja. Na nadhani amekuelewa aliyekutuma kufanya hivo.


Kwa hayo machache ya haraka haraka kwa wasiojua na watu wenye mazoea ya watz wa nyuma watakuunga mkono lakini mimi kwa hilo nahitaji viboko kukuelewa, umeanika hadarani kwa kuwadharirisha wanawake wenzio sina uhakika kama wamekubaliana na hili, lakini wewe mambo yao ya ndani umeyaleta hadharani. Ningekuona wa maana kama na wewe ungejiwekemo kwenye angalao hata ka mfano kamoja basi kwa namna moja amanyingine

Sitetei maovu ya diamond kwa jinsi ulivoyaona lakini naadhani kama kweli ni muovu kwa kiasi hiki nadhani vyombo husika na hukumu juu ya tuhuma zingekua zilishachukua hatua sitahiki dhidi ya hili na kwa umakini wa vyombo naamini angekua alishachukuliwa hatua,, lakini wewe umekua m- badala wa vyombo hivi na kutoa adhabu kali ili bwana huyo akose ka mkate kake ka kila siku.

N. B
Mtu ukitokea kuto mpenda bora ukachukua hatua zingine sio kumkazania ili ummwagie ka unga. Sasa unataka akikosa kazi abebe familia yake ije kwako???


Huo ni mtazamo,, jitahidi kua mzalendo, kutumia lugha ya kingereza kwa kuchanganya na kiswahili hakuifanyi hoja kuwa na mshiko,, hizo ni dalili za kuficha ukweli ili kuepuka kufikiria kwa kina pale utakapoeleweka na wengi hasa kwa hoja zako zitakapogundulika kuwa zilistahili kuwa kwenye nyimbo za mahadi ya TAAARABU

IKUMBUKWE SIKO TAYARI KUTETEA UNYANYASI WA MWANAMKE, ILA MBIO HIZI NAOMBA ZIFIKE HUKU VIJIJINI NDIO MJUE NI JINSI GANI WANAWAKE WANANYANYASWA,,LAKINI SIO KUZIPIGANIA TUU KUTOKA KWA WATU MAAALUFU ILI NANYI MUWE MAARUFU

AU MSIWATUMIE WATU MAALUFU VIBAYA ILI WATANGAZE JUHUDI ZENU

KABLA HUJATOA MSIMAMO WAKO,,IHAKIKISHE MIGUU YAKO IMESIMAMA IMARA PALE UNAPOTAKA KUSIMAMIA.
 
Nimepita Sam nujoma road wanabadilisha na kumuweka yule Dada Wa matangazo ya dabodabo sijui wamekusikia au utaratibu Wa ofisi
 
wanawake walitaka kuwezeshwa wamewezeshwa,tunaona wanachofanya bongo movie na kwengineko.wanataka umaarufu ili wafanye adultery,chibu was in search of right woman but he didn't get na ndo maana alkuwa ana change daily coz karb wote vicheche sio huyo wema,jokate wala penny.so wa kumlaumu sio chibu ni hao mabinti.am out
 
Bora ata angemsapport Jokete maake anajielewa.
Mtu anaemsupport wema na kuleta ushibiki namuona kama ni walewale2
 
HUO MUDA WA KUNIONESHA MIMI POWER MALIZANENI NA DEBBY.

Zingine zote zilikuwa blah blah.
Atleast nimekuelewa lara, ila siku nyingine usizunguke zunguke sana.
Hahaha I bet umekula vya watu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahaaaaa! JIJI SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII! WOYOOOOOO WOYOOOOOOOOO! Sasa mi sitaki kuongea mengi kwa sasa maana reasonable time haijaisha na hatua zishaanza kuchukuliwa. Ila tu mkumbuke INTERNET NEVER FORGETS.

Nawaacha kwanza mjimlizeeeeeee, mjimimineeee kama kaka meneja kwenye zile shutuma. Mseme yote ndo mimi ndo napo wapatia kwa hayo hayo mliyosema. Kabla hujabadili maneno au kupindisha pindisha habari kumbuka habari ya kwanza uliongea nini, mbele ya camera ngapi na data gani ulitoa. Bila hivo ukichakachua ile interview ya nyuma itawavua nguo Voda maana mlijimimina hatari.

Press release zenu zimesainiwa kabisaa mkazimwaga mwenye mablog, nazipitia pitia hapa daily just incase you twist something. Nishazi save na ku screenshot hazikawii kupotea maana mtandao si wenu huu.

NAWATUMIA SALAMU NYINGI TOKA KIBAIGWA HUKU SOKO LA MAINDI MTANDAO TUNAUPATA SAFIIIIII KABISAAAAAA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…