Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Nimechelewa kuona hii thread. Salute kwako Lara_1
 
Mpenzi wako/ mume wako anaweza akakubaka. Kinachotakiwa ni proof kwamba kweli kakubaka. Haya mambo hayatakiwi kwenda kwa kukimbizana kama kuku, ni maridhiano.
Pia kuchat na mwanamke in a romantic way hakujustify mwanamme kumuingilia mwanamke kimwili bila ridhaa yake.
 
Naona kila kona hapa mjini Vodacom wamebadilisha picha ya tangazo Na ujumbe sasa sijui ni mkataba tu umeisha wa Diamond kwenye hayo mabango ya Voda au ni huyu Lara na tuhuma zake za kizushi?
 
MbaVuuu ZAO! TAMAA ZAO ZA KUTOKA AU KUONEKANA WANATOKA NA MASTER NDO ZINAWAPONZA?!!!MIMI HATA SIMUONEI MTU HURUMA, HAYO NDO MALIPO YAO
 
Lavian, wewe ndo umeanza kuongelea ushabiki kama nikiwa refa. Huyu Lara akuna sehem alieongelea team.
Mpinge kwa hoja ya msingi
 
Kwa case ya yule demu nadhani pesa ndo ilikuwa shida yake kutokana na sharia za Sweden, sabab manager wa diamond alikuali amlipe dola 6000 azime kes akagoma ataka dola 12,000 sasa kweli tangu lini? utu wa mtu ukanunuliwa au kuuzwa, kama kweli hakuridhika au hana njama nyengine hata hiyo offer ya dola 6000 angeichukulia ni kuvunjiwa heshima lakini ilikuwa tofauti, Kama maelezo ya Salam ni kweli basi Hapo demu anachosubiri alipwe na hiyo serikali ya sweden basi, Mademu wa sasa tunapenda mteremko sana na shortcut za maisha ndio mana tunachezewa.
 

Alikubali kumplipa za nini in the first place kama hawana makosa? Kama walikubaliana kama anavosema meneja WHY MENEJA ATAKE KUMLIPA? Hahahaaa yani huyu meneja kwenye PR NI FFFFFF maana badala ya kumsafisha mtuhumiwa ndo kwanza anamtia hatiani kwa maelezo yake. NA HILO KWAMBA KATAKA HELA KWA USHAHIDI UPI KAMA HAWAMSINGIZIII BWANA? MBONA HANA CHAT AU VOICE YA HUYO DEBBY ANAOMBA HIZO DOLA 12,OOO? ZAIDI YA MANENO YA WCB THERE IS NOTHING TO BACK UP HIZO ALLEGATIONS. NI UHUNI TU WAMETUNGA WAKIJUA WAMEMUWEZA.

Dola 6000 kwa Tigo yako kuliwa mchezoooo! Hakuchukua coz ANACHOTAKA NI HAKI TU WALA HAJAWAOMBA HELA YOYOTE NDO MAANA KAENDA MBELE KUITAFUTA HAKI.

Maelezo ya Slaam ni UONGO kwa hela waliokula Voda na kwa kuisitiri Voda hio 12,000 hata Voda angewalipia. DEMU HATAKI CHOCHOTE NDO MAANA SALAAM ALIKUWA MANENO TUPU AKIJUA WABONGO DESIGN WAJINGA FLANI KUMBE SIKU HIZI TUMEELIMIKA. DEMU ANACHOTAKA MTUHUMIWA AKANYEE DEBE BAAAAS

SIKU NYINGINE KWA KASHFA KAMA ILE WATAFUTE PR MWENYE SHULE YA KUTOSHA YULE MENEJA JAUUU JAUUU HANA ANALOLIJUA.
 
WCB Walishajua kama Rommy hakubaka na pia huyo demu alikwenda mchukua mwenyewe rommy kwenda nae huko walikokwenda, Alipewa pesa baada ya kuonyesha kuwa ameamua kufanya yale sabab ya pesa, AMEKWENDA MBELE YA SHERIA SABAB HUKO WATAMPA DOLA 12000, inawezekana walibakana sabab wote walikuwa wamelewa. chatting mbona ziliwekwa hadharani. au labda zakutengezwa? KWA MAELEZO YA MENEJA WALISEMA KUWA WANAMTAMBUA DEMU KAMA SHEMEJI YAO, HALAFU ALOBAKA SI DIAMOND NI ROMMY, ROMYY NI MWAJIRIWA TU WCB Wanaweza mpiga chini kampuni ikaendelea kwahiyo huo mzigo asibeswe diamond nadhani Manager anatakiwa kufanya hayo. LABDA TUSUBIRI WCB WATACHUKUA HATUA GANI JUU YA ROMMY.
 
Juzi baada ya Rommy Jones, Official Dj wa Diamond kumbaka mtu huko Sweden na kumsikiliza meneja wa Dai, I was hoping even once ange apologise kwa Debora au hata kwa jamii ila ndo kwanza kamkingia kifua Rommy na Dai. That is it.
Hii issue ya Rommy Jones kubaka Sweden naomba nikiri ndio kwanza nimesoma hapa. Lakini inaniacha na swali, kwanini mlalamikaji hakufuata sheria??
 
Lara 1 umeboa and truthfuly u just lowered ur personality and status... Unaongelea mambo ambayo huna ushahidi nayo kwa kuwa mambo yenyewe ni umesikia from word of mouth ila hujayaona with your two naked eyes.

Naomba niulize haya yafuatayo:-
1. Wema ni mpenda kuwa talk of the town sasa una uhakika gani alipigwa na sio kuwa ni madeup shit kutengeneza headlines..!?
2.Jokate ni msomi na ni influencial person, je ni kwamba kweli kama aliona anakuwa harrased angeshindwa kufungua lawsuit..!?
3.Kwa Tanzania yetu kila msanii anataka kuwa superstar,mfano ni kna Gigymoney,Lulu na wengine. Wanajitengenezea skendo za kupanga ili wawe headlines za magazeti na kuanza kuwa maarufu. Je hujawahi fikiria kuwa na diamond labda alikuwa anapayuka ili kuongeza his fame kwa kuwa mada ya jiji..?
4.Rommy Jones ni mfanyakazi katika WCB hvo Diamond hahusiki na personal life ya roomy. Je umewahi kusikia mahala kokote afrika kampuni ikiomba samahani kwa kosa personal la mfanyakazi wake tena a mistake done outside company working hours..!?
5.Hivi una uhakika gani huyo dada kabakwa..!? Je yule dada amewasilisha PF3 report inayoonesha kabakwa na polisi kudhibitisha hilo jambo..!? What if that lady is only seeking fame or avenging for something btw her and roomy..!?


Mie naona tunaanza kuleta figisu figisu kama za wanaijeria walivyowafanyia P Squire.
lara 1 naomba kama kweli una umia na manyanyaso kwa wanawake basi uanzie na kumshitaki mme wa mama yako maana katika familia za kiafrika hamna nyumba ambayo mama hajawahi kupigwa ama kunyanyaswa na mumewe at some point.
Ukimaliza hapo basi na hadithi zako ziwe women empowering na sio women victimizing, zisiwe zinapotray women as sex and entertainment tools,zisi encourage women prostitution. Ukifanikisha haya hapo tutasema ww ni mwanamapinduzi na tutakuheshimu mara dufu, ila if u cant do that basi naomba kusema u r just another hater and snitching bitch.
 
Ingawa jamii inakushusia hadhi kwangu unakubalika kishenzi, na nitakulinda.
 
Naona mond bado yuko na voda mrembo...hawakukusikia nini..? Kazana tena bibie lazima wavunje mkataba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
vipi kuhusu kanumba kubaka lakin mpaka leo ni legend wa bongo movie
 
Kati ya DILI LA VODA NA IYO UNAYOIITA UDHALILISHAJI KWA AO UNOWAITA WANAWAKE KIPI KILIAN? ?? AO WALOMPA UBALOZI DAI WANAISHI NCHI GANI????? WAKATI UO UDHALILISHAJI UNATOKEA VODA ILIKUWA WAPI???? SHIDA YAKO NI VODACOM, DAIMOND AU UDHALILISHAJI?????? SIDHANI KAMA VODA INAFIKIRI UNACHOFIKIRI!!!!!! KAMA UNASIMAMIA KWELI HAKI YA MWANAMKE KWA NJIA HIII UMEKOSEA NA DHAHIRI KUWA UNA SHIDA NA DAI, NA SIDHANI KAMA VODACOM AINA UMAKINI KIASI HICHO, KUNA ABUSE NYINGI SANA MITAANI KWETU UKU UNGEANZA NA IZO KWANZA.....
 
kama nashawishika na mie kuwatetea hawa walibwende kwa unyanyasaji walio fanyiwa na mr...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…