binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Tanzanian though!Diamond nilishasema tm wl ter. Ndio ataanza kupiga unga. ZARI KASHAPOTEA. Jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzanian though!Diamond nilishasema tm wl ter. Ndio ataanza kupiga unga. ZARI KASHAPOTEA. Jaman
Mpenzi wako/ mume wako anaweza akakubaka. Kinachotakiwa ni proof kwamba kweli kakubaka. Haya mambo hayatakiwi kwenda kwa kukimbizana kama kuku, ni maridhiano.Ulichoongea ni kweli kabsaa kuhusu Daimond na hizo kampuni, lakini nadhani huko nchi zote ambako kampuni zilichukua hatua nadhani baada ya Mahakama kuthibitisha kuwa kweli katenda kosa, Kama walofanyiwa hayo hawakuwa tayari kwenda Mahakamani na hivyo vidhibiti unadhani hili swala litasimamiwa vipi kisheria?? Mpaka hayo Makampuni yaweze kuvunja nae Mkataba??
Kuhusu kesi ya Rommy yule ni mtu mzima, uchafu wake hauwezi hamishiwa kwa Diamond, Na kingine hivi kweli mpenzi wako anaweza kukubaka?? kama umeamini maelezo ya Meneja wa Diamond kwamba jamaa alifanya kweli na alikuwa kalewa nadhani ULIMSIKIA SALAM HUYO HUYO AKISEMA KUWA TAYARI YULE WALIJUA NI SHEMEJI YAO, KWA JINSI MIENENDO MSG WALIZOKUWA WAKICHAT NA ROMMY. Huyo Debora nae anatakiwa kuwa muwazi Rommy hakuwa mpenzi wake????
MbaVuuu ZAO! TAMAA ZAO ZA KUTOKA AU KUONEKANA WANATOKA NA MASTER NDO ZINAWAPONZA?!!!MIMI HATA SIMUONEI MTU HURUMA, HAYO NDO MALIPO YAOIgweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
Leo nimekaa imenibidi niseme, sababu nipo kikazi as advocate of gender equality and enforcer of women rights i was waiting all this time TAMWA, TAWLA, UTU Mwanamke tu etc waongeee hii issue ila hawakuongea.
Juzi baada ya Rommy Jones, Official Dj wa Diamond kumbaka mtu huko Sweden na kumsikiliza meneja wa Dai, I was hoping even once ange apologise kwa Debora au hata kwa jamii ila ndo kwanza kamkingia kifua Rommy na Dai. That is it.
As jamii naanza kuongea naomba kina Mange Kimambi, Mrekebisha tabia nao waongeee, serious women activists tuangalie hili swala kwa jicho la 3.
History ya Diamond women abuse goes way back, and all these abuses are documented katika tabloids and anahojiwa na kukubali kafanya, even in some interviews zipo online nimezikusanya anakiri kabisaa na anaona sifa kwa unyanyasaji wake dhidi ya wanawake. The best part is internet never forgets.
Ningenyamaza but it is not okay kwa musicians na vijana wadogo zetu kama Dai kuona it is okay kunyanyasa wanawake watakavyo, well it is not. Mwanamke lazima aheshimiwe.
Diamond alimnyanyasa sanaaa, sanaaa, sanaa Amisuu Maliki, yule Miss Ilala, shombe shombe. Alimsingizia katembea nae gazetini. Yule binti alihangaika kujisafisha sema ndo hivo mtu maarufu keshaamua kukuchafua utafanyaje?
Kwa watu wa asili ya kiarabu alimuharibia maisha mpaka yule binti kakimbia nchi, sijui yupo China sijui yuko wapi na kisaikolojia ashapotea. He got away with it sababu yule binti kama wengine hakuwa kasoma, wala hakuwa na nguvu ya kupambana na Diamond.
Akaja kumnyanyasa sanaa sanaa Wema Sepetu. Alikuwa anampa vipondo heavy mara kwa mara. Shame on you Wema kwa kuwa so blind in love kwa kushindwa kureport na kuona sawa tu vipondo ulivyoshushiwa. Na alikiri kwenye Amani (gazeti), picha ipo, makala ipo kuwa ndio anampiga Wema sanaaa, kwa sababu ni jeuri. Watu wakaona sawaaa tu, si kataka mwenyewe.
Interviews nyingi sanaa amekuwa anatoa verbal abuse dhidi ya ma ex wake, live on air. Anatukana wadada hakuna mfanooo. Sababu ma ex wake ndo hivo tena wadogo, shule ya wasiwasi wanashindwa kupambana nae, wanabakia victims tu. Shame on you Jokate kwa kushindwa kuchukua lawsuit againts hii woman abuser. Hizi interview zipo online na huyu mtu hajawajibishwa mpaka kesho.
Kwa wenzetu mtu mwenywe historia ya Diamond hafai kuwa endrosed na kampuni yoyote hata ya mfukoni. Shame shame shame on you Voda and RedGold kwa kumpa huyu mtu endorsement. Vodacom aliesapoti hii ishu ni jipu na atumbuliwe. Tigo wamechukua Joti very clean, hana harufu ya women abuse charges. Shame shame shame on you Voda. Line yangu nishaiflush chooni i cant roll with a company yenye women abuser as their brand ambassador. Hapa ni Tigo baby mwanzo mwisho.
Chris Brown alivompiga Rihana was stripped all his endorsement deals. He has spent 7 years apoligising, giving interviews, being on the front bench ku advocate alichofanya sio sahihi na kuelimisha jamii kwamba ule sio muelekeo na till date hana endorsement ya maana na some countries kama Australia amenyimwa visa entry for something he did 7 years ago.
I call all the women verbally or physically abused by Diamond to speak up even in their Instagram pages, msiogope backlash, we have to break the cycle of silence. Sababu wote mko hai find the courage to do so.
Hata waliokuwa abused na billy cosby it took them 20 years even more kuongea the minute wameongea he lost all his endorsements and was stripped all his honorary degrees and tittles sababu he is a noble citizen.
Goodluck Voda kwa kuwa na brand ambassador mwenye Dj mbakaji na alishawahi kumpiga Gf mpaka mimba ikatoka na aka-confess kwenye interview. What a brand image!
NA ILE MIBANGO YENU YENYE DJ MBAKAJI MWENYE RB VEPEEEEEEEEE! MFANYE MUITOE MAPEMAAAA HIZI HABARI ZIKO MBIONI KWENDA MEDIA MediaTakeOut.com 2014 ULE MBANGO UKIFIKA HUKU NA RB YA DEBBY NA HIVI HAWAJAMALIZANA NAE DOLLA ZAKE HAJALIPWA MJUE NI ITAKUWA GLOBAL SCANDAL NCHI KIBAO ONE BRAND!
HABARI ZIKO NJIANI KUELEKEA HUKO NA BLOG ZINGINE GOBAL FANYENI MTOE MIBANGO HIO. OOOOHHH!
ITAKUWA MAJIPU MAWILI;
1. KUKURUPUKA NA
2. KUTOCHUKUA HATUA MADHUBUTI KWA WAKATI
Kwa case ya yule demu nadhani pesa ndo ilikuwa shida yake kutokana na sharia za Sweden, sabab manager wa diamond alikuali amlipe dola 6000 azime kes akagoma ataka dola 12,000 sasa kweli tangu lini? utu wa mtu ukanunuliwa au kuuzwa, kama kweli hakuridhika au hana njama nyengine hata hiyo offer ya dola 6000 angeichukulia ni kuvunjiwa heshima lakini ilikuwa tofauti, Kama maelezo ya Salam ni kweli basi Hapo demu anachosubiri alipwe na hiyo serikali ya sweden basi, Mademu wa sasa tunapenda mteremko sana na shortcut za maisha ndio mana tunachezewa.Mpenzi wako/ mume wako anaweza akakubaka. Kinachotakiwa ni proof kwamba kweli kakubaka. Haya mambo hayatakiwi kwenda kwa kukimbizana kama kuku, ni maridhiano.
Pia kuchat na mwanamke in a romantic way hakujustify mwanamme kumuingilia mwanamke kimwili bila ridhaa yake.
Kwa case ya yule demu nadhani pesa ndo ilikuwa shida yake kutokana na sharia za Sweden, sabab manager wa diamond alikuali amlipe dola 6000 azime kes akagoma ataka dola 12,000 sasa kweli tangu lini? utu wa mtu ukanunuliwa au kuuzwa, kama kweli hakuridhika au hana njama nyengine hata hiyo offer ya dola 6000 angeichukulia ni kuvunjiwa heshima lakini ilikuwa tofauti, Kama maelezo ya Salam ni kweli basi Hapo demu anachosubiri alipwe na hiyo serikali ya sweden basi, Mademu wa sasa tunapenda mteremko sana na shortcut za maisha ndio mana tunachezewa.
WCB Walishajua kama Rommy hakubaka na pia huyo demu alikwenda mchukua mwenyewe rommy kwenda nae huko walikokwenda, Alipewa pesa baada ya kuonyesha kuwa ameamua kufanya yale sabab ya pesa, AMEKWENDA MBELE YA SHERIA SABAB HUKO WATAMPA DOLA 12000, inawezekana walibakana sabab wote walikuwa wamelewa. chatting mbona ziliwekwa hadharani. au labda zakutengezwa? KWA MAELEZO YA MENEJA WALISEMA KUWA WANAMTAMBUA DEMU KAMA SHEMEJI YAO, HALAFU ALOBAKA SI DIAMOND NI ROMMY, ROMYY NI MWAJIRIWA TU WCB Wanaweza mpiga chini kampuni ikaendelea kwahiyo huo mzigo asibeswe diamond nadhani Manager anatakiwa kufanya hayo. LABDA TUSUBIRI WCB WATACHUKUA HATUA GANI JUU YA ROMMY.Alikubali kumplipa za nini in the first place kama hawana makosa? Kama walikubaliana kama anavosema meneja WHY MENEJA ATAKE KUMLIPA? Hahahaaa yani huyu meneja kwenye PR NI FFFFFF maana badala ya kumsafisha mtuhumiwa ndo kwanza anamtia hatiani kwa maelezo yake. NA HILO KWAMBA KATAKA HELA KWA USHAHIDI UPI KAMA HAWAMSINGIZIII BWANA? MBONA HANA CHAT AU VOICE YA HUYO DEBBY ANAOMBA HIZO DOLA 12,OOO? ZAIDI YA MANENO YA WCB THERE IS NOTHING TO BACK UP HIZO ALLEGATIONS. NI UHUNI TU WAMETUNGA WAKIJUA WAMEMUWEZA.
Dola 6000 kwa Tigo yako kuliwa mchezoooo! Hakuchukua coz ANACHOTAKA NI HAKI TU WALA HAJAWAOMBA HELA YOYOTE NDO MAANA KAENDA MBELE KUITAFUTA HAKI.
Maelezo ya Slaam ni UONGO kwa hela waliokula Voda na kwa kuisitiri Voda hio 12,000 hata Voda angewalipia. DEMU HATAKI CHOCHOTE NDO MAANA SALAAM ALIKUWA MANENO TUPU AKIJUA WABONGO DESIGN WAJINGA FLANI KUMBE SIKU HIZI TUMEELIMIKA. DEMU ANACHOTAKA MTUHUMIWA AKANYEE DEBE BAAAAS
SIKU NYINGINE KWA KASHFA KAMA ILE WATAFUTE PR MWENYE SHULE YA KUTOSHA YULE MENEJA JAUUU JAUUU HANA ANALOLIJUA.
Hii issue ya Rommy Jones kubaka Sweden naomba nikiri ndio kwanza nimesoma hapa. Lakini inaniacha na swali, kwanini mlalamikaji hakufuata sheria??Juzi baada ya Rommy Jones, Official Dj wa Diamond kumbaka mtu huko Sweden na kumsikiliza meneja wa Dai, I was hoping even once ange apologise kwa Debora au hata kwa jamii ila ndo kwanza kamkingia kifua Rommy na Dai. That is it.
Naona mond bado yuko na voda mrembo...hawakukusikia nini..? Kazana tena bibie lazima wavunje mkataba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
Leo nimekaa imenibidi niseme, sababu nipo kikazi as advocate of gender equality and enforcer of women rights i was waiting all this time TAMWA, TAWLA, UTU Mwanamke tu etc waongeee hii issue ila hawakuongea.
Juzi baada ya Rommy Jones, Official Dj wa Diamond kumbaka mtu huko Sweden na kumsikiliza meneja wa Dai, I was hoping even once ange apologise kwa Debora au hata kwa jamii ila ndo kwanza kamkingia kifua Rommy na Dai. That is it.
As jamii naanza kuongea naomba kina Mange Kimambi, Mrekebisha tabia nao waongeee, serious women activists tuangalie hili swala kwa jicho la 3.
History ya Diamond women abuse goes way back, and all these abuses are documented katika tabloids and anahojiwa na kukubali kafanya, even in some interviews zipo online nimezikusanya anakiri kabisaa na anaona sifa kwa unyanyasaji wake dhidi ya wanawake. The best part is internet never forgets.
Ningenyamaza but it is not okay kwa musicians na vijana wadogo zetu kama Dai kuona it is okay kunyanyasa wanawake watakavyo, well it is not. Mwanamke lazima aheshimiwe.
Diamond alimnyanyasa sanaaa, sanaaa, sanaa Amisuu Maliki, yule Miss Ilala, shombe shombe. Alimsingizia katembea nae gazetini. Yule binti alihangaika kujisafisha sema ndo hivo mtu maarufu keshaamua kukuchafua utafanyaje?
Kwa watu wa asili ya kiarabu alimuharibia maisha mpaka yule binti kakimbia nchi, sijui yupo China sijui yuko wapi na kisaikolojia ashapotea. He got away with it sababu yule binti kama wengine hakuwa kasoma, wala hakuwa na nguvu ya kupambana na Diamond.
Akaja kumnyanyasa sanaa sanaa Wema Sepetu. Alikuwa anampa vipondo heavy mara kwa mara. Shame on you Wema kwa kuwa so blind in love kwa kushindwa kureport na kuona sawa tu vipondo ulivyoshushiwa. Na alikiri kwenye Amani (gazeti), picha ipo, makala ipo kuwa ndio anampiga Wema sanaaa, kwa sababu ni jeuri. Watu wakaona sawaaa tu, si kataka mwenyewe.
Interviews nyingi sanaa amekuwa anatoa verbal abuse dhidi ya ma ex wake, live on air. Anatukana wadada hakuna mfanooo. Sababu ma ex wake ndo hivo tena wadogo, shule ya wasiwasi wanashindwa kupambana nae, wanabakia victims tu. Shame on you Jokate kwa kushindwa kuchukua lawsuit againts hii woman abuser. Hizi interview zipo online na huyu mtu hajawajibishwa mpaka kesho.
Kwa wenzetu mtu mwenywe historia ya Diamond hafai kuwa endrosed na kampuni yoyote hata ya mfukoni. Shame shame shame on you Voda and RedGold kwa kumpa huyu mtu endorsement. Vodacom aliesapoti hii ishu ni jipu na atumbuliwe. Tigo wamechukua Joti very clean, hana harufu ya women abuse charges. Shame shame shame on you Voda. Line yangu nishaiflush chooni i cant roll with a company yenye women abuser as their brand ambassador. Hapa ni Tigo baby mwanzo mwisho.
Chris Brown alivompiga Rihana was stripped all his endorsement deals. He has spent 7 years apoligising, giving interviews, being on the front bench ku advocate alichofanya sio sahihi na kuelimisha jamii kwamba ule sio muelekeo na till date hana endorsement ya maana na some countries kama Australia amenyimwa visa entry for something he did 7 years ago.
I call all the women verbally or physically abused by Diamond to speak up even in their Instagram pages, msiogope backlash, we have to break the cycle of silence. Sababu wote mko hai find the courage to do so.
Hata waliokuwa abused na billy cosby it took them 20 years even more kuongea the minute wameongea he lost all his endorsements and was stripped all his honorary degrees and tittles sababu he is a noble citizen.
Goodluck Voda kwa kuwa na brand ambassador mwenye Dj mbakaji na alishawahi kumpiga Gf mpaka mimba ikatoka na aka-confess kwenye interview. What a brand image!
NA ILE MIBANGO YENU YENYE DJ MBAKAJI MWENYE RB VEPEEEEEEEEE! MFANYE MUITOE MAPEMAAAA HIZI HABARI ZIKO MBIONI KWENDA MEDIA MediaTakeOut.com 2014 ULE MBANGO UKIFIKA HUKU NA RB YA DEBBY NA HIVI HAWAJAMALIZANA NAE DOLLA ZAKE HAJALIPWA MJUE NI ITAKUWA GLOBAL SCANDAL NCHI KIBAO ONE BRAND!
HABARI ZIKO NJIANI KUELEKEA HUKO NA BLOG ZINGINE GOBAL FANYENI MTOE MIBANGO HIO. OOOOHHH!
ITAKUWA MAJIPU MAWILI;
1. KUKURUPUKA NA
2. KUTOCHUKUA HATUA MADHUBUTI KWA WAKATI
Kati ya DILI LA VODA NA IYO UNAYOIITA UDHALILISHAJI KWA AO UNOWAITA WANAWAKE KIPI KILIAN? ?? AO WALOMPA UBALOZI DAI WANAISHI NCHI GANI????? WAKATI UO UDHALILISHAJI UNATOKEA VODA ILIKUWA WAPI???? SHIDA YAKO NI VODACOM, DAIMOND AU UDHALILISHAJI?????? SIDHANI KAMA VODA INAFIKIRI UNACHOFIKIRI!!!!!! KAMA UNASIMAMIA KWELI HAKI YA MWANAMKE KWA NJIA HIII UMEKOSEA NA DHAHIRI KUWA UNA SHIDA NA DAI, NA SIDHANI KAMA VODACOM AINA UMAKINI KIASI HICHO, KUNA ABUSE NYINGI SANA MITAANI KWETU UKU UNGEANZA NA IZO KWANZA.....Hahahaaaa! Watu hamna imani na mie, NITAPIGA DILI GANI WAKATI HUU WA MJOMBA MAGU? Mi na ainisha tu kuwa VOD AS A GLOBAL COMPANY PALE IMELAMBISHWA DUME LA MAVI. Hahahaaaa! Sifaidiki lolote haki ya Mungu na Mtume zaidi ya mitusi yenu tu hapa, na la zaidi Voda wanajamba jamba ofisini huko wakijadili kwenda kuitoa ile mibangooo. Hahahaaa!