Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda


Stop this bana. It's embarrassing. TMZ..? Daily mail..? JF inasomwa na watu wengi wenye akili zao timamu ujue?!

You have your ride or die fans, and they love you to death. Just stick to those stories/myths.
 
Muacheni Chibu wetu aendelee kuwakimbiza wafa maji, afteroll hao voda wapo after profit kama chibu mwenyewe hayo mambo ya wema kwani waliyashuhudia, Yaani voda ianze kuamini story za magazeti ya amani na ijumaa Sijui, tafuta hela Lala 1 kwa kuwachuna wanaume kama thread zako nyingi zinavyojinasibu hiko ndicho TAMWA wanachokiona sahihi kwenu
 
Baada ya kusoma robo ya habari, nikalazimika kuangalia vizuri hii thread ni ya lini ingawaje hapo kabla nilishaangalia!

Nikaendelea kusoma na nilipofika nusu nikalazimika kuiangalia thread kwa mara nyingine nione ni ya lini!

Haikutokea kwa bahati mbaya; nilikuwa najiuliza kulikoni habari ya ubakaji wa Rommy inatawala history ya sexual abuse ya Diamond!!

Au ni kwamba hii thread uliiandika kitambo ukawa unasubiri scandal ya Diamond kunyanyasa wanawake lakini ulipoona hiyo scandal haiji ukalazimika kui-update kwa kutumia issue ya Rommy hapo juu na chini ukawaweka akina Redgold?!

Am I missing something here? Any help from anyone!
 
STILL HAUMSAFISHA DAI KWA KUNI DISCREDIT MIMI.

Na natoa wito mapemaaa kama nilivosema internet never forgets siku nikiwa endorsed hata na mjumbe wa nyumba kumi, MAKE SURE POST ZANGU ZOTE ZA NYUMA NA ZIJAZO I'M NOT DONE POSTING SHIT IN HERE, MZIFIKISHE HUKO.

For now till nikiwa endorsed VODA WALIBUGI VIKUBWA NA SASA NDO TUNAANGALIA WATACHUKUA HATUA GANI.
 

This is not the LAST OF IT. It took 30 years and above WOMEN ACTIVISTS TO MAKE BILLY COSSBY RESPONSIBLE FOR HIS ACTS AND VIOLENCE COMMITED AGAINST WOMEN IN HIS 40 YEARS CAREER. Juzi kapanda kizimbani hajapanda?

THIS IS JUST THE BEGGINING.
 
Yaani kabisa kampuni kama Voda ianze kutetea haki za wanawake tena eti Sema Sepetu, Jokate, ….... serious?
 
Stop this bana. It's embarrassing. TMZ..? Daily mail..? JF inasomwa na watu wengi wenye akili zao timamu ujue?!

You have your ride or die fans, and they love you to death. Just stick to those stories/myths.

MediaFakeOut? No one in the US except maybe some welfare hoodrats, who pay attention to the garbage they put on.

I'd go to Sandra Rose, NecoleBichie, and Bossip before I even think of MediaFakeOut.

But then again no one in the US even knows what Vodacom is let alone give a rat's you know what about it.

This is an exercise in futility.

You watch.....
 
Yaani kabisa kampuni kama Voda ianze kutetea haki za wanawake tena eti Sema Sepetu, Jokate, sijui na wadudu gani kama hao….... serious?

We will see. I have been in this PR game long enough. How about we watch and see.
 
Lugha ya malkia hii ni shida. Heading ya Lara 1 (Endorse) iko sahihi. Wewe umeikosea halafu tena ukapendekeza kosa vile vile. Endose ndiyo nini mkuu? Tukomaeni tu na Kiswahili chetu wapendwa. Hili lilugha la watu hili lilishatushinda!
Heading imehaririwa, amerudia makosa hayo hata kwenye insha nzima, mimi nimekosea kwa typing error tu.
 
Narudia tena Lara 1 acha majungu, kwenye show wanawake wanavyokuwa uchi na wanakata mauno hamuwaoni na TAMWA yako kuwa wanawadharilisha wanawake wanaojiheshimu kwa kuwa tu wanakula mpunga?, think critically acha kutafuta kiki zako za kijinga
 
This is MY LIFE. Looking after my SOCIETY even if it doesn't look after me. BECOME THE CHANGE YOU WANT TO SEE -Barrack Obama.
 
 
Narudia tena Lara 1 acha majungu, kwenye show wanawake wanavyokuwa uchi na wanakata mauno hamuwaoni na TAMWA yako kuwa wanawadharilisha wanawake wanaojiheshimu kwa kuwa tu wanakula mpunga?, think critically acha kutafuta kiki zako za kijinga

Hahahaaaa! MBONA VODA HAWAENDI KUWA SPONSOR HAO WAKATA MAUNO UCHI? Think critically! Kiki mi nikitaka naandika tu story kila mahali facebook naikuta HAPA TUPO SERIOUS TUNAJENGA JAMII SAFI.
 
Mleta Uzi ulikuwa wapi kuwatetea wale Wabunge Wanawake wa Upinzani waliotolewa Bungeni na Askari wa Kiume mpaka wakakatiwa Shanga zao au kwa vile unajinadi UVCCM 2017 ndio maana ulikaa kimya?
 
We will see. I have been in this PR game long enough. How about we watch and see.
Acha kutafuta hela kupitia migongo ya Watu, umesifia kuchuna weeee umeona papuchi inababuka tu huna unachokipata, sasa naona umekuja na fiksi zingine za eti usawa,hivi chukulia hata wewe leo Diomond akutokee akute papuchi inapwaya hatari hadi imeota sugu unategemea CHIBU asikupe kichapo?
 
Mleta Uzi ulikuwa wapi kuwatetea wale Wabunge Wanawake wa Upinzani waliotolewa Bungeni na Askari wa Kiume mpaka wakakatiwa Shanga zao au kwa vile unajinadi UVCCM 2017 ndio maana ulikaa kimya?

Politics is not my game. CORPORATE AFFAIRS IS MY THING. Hapa ndo nipo nyumbani. Kila mtu anatetea anapoweza jamaniii. Mtata mwishowe nikawatetee kwa waume zao wasioshe vyombo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…