lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
- Thread starter
- #81
sasa lara 1 kumbe ni mala ya pili kwa nn karuhusu hayo mambo wakat anajua vitendo vyake? na kwa nn amfuatilie na anakubali miadi ya mtu mbaya? kuna haja na yy kuchunguzwa. Sasa
Watu wa 2 TOFAUTIII. Huyu wa kwanza binti tu wa mjini. Debby wa 2. NA TUKISEMA JAMII IUNGANE WALIOFANYIWA VITENDO HIVO NA HUYO MUHUSIKA KUNA UWEZEKANO MKUBWA SANAAA WAKATOKA WANAFUNZI, MABINTI WA MJINI HAWA, NA WASICHANA WENGI SANAAAA. Ukute hio ni tabia yake sema victim wake wanakuwa watu asiojielewa ila huyu wa mwisho kukaa na wazungu kaamua kuwahi mbele ya sheria.
HIVI HUJIULIZI KAFANYWA NINI MPAKA MTU MZIMA KAMA YULE AKASHTAKI ITAKUWA AMECHUKULIWA KITU CHAKE CHA THAMANI SANAAAA, KIMEMUUMA SANAAA. JIONGEZE KITU GANI HIKO CHA THAMANI MTU MZIMA WEWE. NA KIBAYA COMENSATION WAMEMNYIMA PIA Hahahaaa! Not Right kwa kweli.