Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Kwani kitu gani diamond kama daimond kafanya kibaya
Rommy kasema alikuwa mpenzi wake na hata chatts zao kasema anazo

Dimond alikiri GAZETINI naomba google DIMOND KAMPIGA WEMA, utaletewa magezeti yenye hio interview kakiri kabisaa KUMPIGA WEMA. Sasa huyu mtu ni mnyanyasaji wa wanawake hafai kuwa BRAND AMBASSADOR. Achia mbali VERBAL ABUSE ANAZOWAFANYIA WANAWAKE.

Hatuwezi kuwa na jamii ya hivi. Sio sahihi.
 
We niite stupid maliza yoteeee ILA HAIMSAFISHI DIMOND HATA CHEMBE. NA VODACOM NITAWATUMBUA TU HILO JIPU LAO. Nimesha m DM Debora insta ndo wa kwanza kufunguka, believe me, Joyce Kiria yupo njiani soon ataonesha makali. RIP DIAMOND AND OTHER WOMEN ABUSERS. MPAKA MTUBAKE WOTE NDO TUONGEE. Hataaaa.
Na we kumbuka ulivyokuwa unamtukana Zari kibibi na kumsifia wema asizae ili muendelee kumpenda
Chuki zitakuumiza ndo maana najaribu kukuambia uziache maake zitakuumiza
 
mgombea uvccm2017
Kesi zangu sababu una mda unaweza kuzijadili kichwani kwako 24/7nila mimi niko busy NAJENGA JAMII IMARA KWA KUKEMEA MAMBO KAMA YA VODA KUWA EMPOWER WANYANYASAJI WA WANAWAKE.

Na hizo tuhuma za Mange hazina ushahidi. MANGE HAJAKIRI KWA MANENO AU MAANDISHI ila DIMOND TESTIFIED HIMSELF IN INTERVIEWS AND ON AIR.
 
mgombea uvccm2017

LILE BANGO LA VODA AMBALO ROMMY YUPO NI LA KUTOLEWA USIKU HUUU. HAHAHAAAAAA! BRAND YENYE MBAKAJI MWENYE RB! Hehehheeeeee! Voda Global wakijua hili wata RIP.
 
Dimond alikiri GAZETINI naomba google DIMOND KAMPIGA WEMA, utaletewa magezeti yenye hio interview kakiri kabisaa KUMPIGA WEMA. Sasa huyu mtu ni mnyanyasaji wa wanawake hafai kuwa BRAND AMBASSADOR. Achia mbali VERBAL ABUSE ANAZOWAFANYIA WANAWAKE.

Hatuwezi kuwa na jamii ya hivi. Sio sahihi.
Hyo insue ni personal na kama wema angeona ni kitu kikubwa angesema ila kama hajasema sidhani kama ni insue kubwa
Af mbna umemjia juu diamond tu
Maake interviews zake za sikuiz naona ziko kawaida tu
Labda za zaman
 
Dimond alikiri GAZETINI naomba google DIMOND KAMPIGA WEMA, utaletewa magezeti yenye hio interview kakiri kabisaa KUMPIGA WEMA. Sasa huyu mtu ni mnyanyasaji wa wanawake hafai kuwa BRAND AMBASSADOR. Achia mbali VERBAL ABUSE ANAZOWAFANYIA WANAWAKE.

Hatuwezi kuwa na jamii ya hivi. Sio sahihi.
Mbna wema alikiri gazetini kuwa katoa mimba nyingi na hilo hujalisema
Na inajulikana kabisa kikatiba kuwa kosa la kutoa mimba ni kosa la jinai na linahusisha wahusika wote na wale wote waliojua
 
Haya bwana hata manny pacman amenyimwa udhamini kwa kudhalilisha mashoga, wazungu bwana, safi saana

HAKI ZA WANAWAKE NI VERY SENSITIVE GLOBALLY NA VODACOM NI ADVOCATE MKUBWA SANAAA KAMA VODACOM GLOBAL KWENYE MAMBO YA WOMEN EMPOWERMENT. Ndo maana hili jipu la Tanzania tutawasaidia kulitumbua
 
Mbna wema alikiri gazetini kuwa katoa mimba nyingi na hilo hujalisema
Na inajulikana kabisa kikatiba kuwa kosa la kutoa mimba ni kosa la jinai na linahusisha wahusika wote na wale wote waliojua
?

JE WEMA YUKO ENDORSED??? AKIWA ENDORSED TUTALIVALI NJUGA HILO SWALA. SHERIA NI MSUMENO INAKATA HUKU NA HUKU
 
Lisipotolewa naomba ujinyonge pleasee! Maana si kwa povu hilo!

Me naaga ntarudi kuona mrejesho wa ujinga wako!

Believe me wasipolitoa nitatumuwa hii skendo TMZ na hilo bango na RB ya Deborah! UNLIKE YOU I KNOW WHAT I AM DOING NA HIZI CORPORATE GAMES NIMECHEZA SANAA. NAWAPA WIKI TU BY JUMATANO NEXT WEEK NIKILIKUTA TMZ WILL TAKE A NUB AT VODA GLOBALLY, ITAKUWA OUTSTANDING! Once TMZ wakipost hio ishu Voda bongo wote chupi zitawabana bora walitoe mapemaaaa.

HII SIO LIGI YA KUKUNA NAZI NYUMBANI KWAKO. VODA SALAMA YAO WATOE BANGO NA WAOMBE PUBLIC APOLOGY FOR INSINUATIONS AGAINST AMBASSADOR WAO LASIVO THIS IS GOING GLOBAL. WA TZ SIO WAJINGA KAMA ZAMANI.
 
?

JE WEMA YKO ENDORSED????????? AKIWA ENDORSED TUTALIVALI NJUGA HILO SWALA. SHERIA NI MSUMENO INAKATA HUKU NA HUKU
Ko sio kosa??
Mbna haulisemei kama ni kosa bali unampaisha tu na kumshauri asizae (atoe mimba)
Sababu yako nini hasa
Au shida yako ni kukwamisha maendeleo ya wa2
Kama unakemea makosa ni bora ukaona upande uliopo uko sahihi
 
Inakusaidia nini kumharibia mwenzako?

itanisaidia nini NIKAKAA KIMYA? Aliebakwa unaona SAWA TU? Wale dada walivotukanwa mapaka kesho anawatukana unaona sawa tuuu? Alivomuathiri physically na psychologically mtoto wa mwenzie unaona sawa tu?

Low key tutafumbia macho ILA KUWA PROMOTED NA GLOBAL BRANDS HELL TO THE NO! NITAPAYUKA, NITAROPOKA ROPOKA OVYO MPAKA NIWE MSTARI WA MBELE. KESHO NA KESHOKUTWA AKICHUKULIWA HATUA HUYU MNYANYASAJI WANAWAKE VIJANA WATAKUWA NA ADABU NA UNYENYEKEVU DHIDI YA WANAWAKE. NA ITANISADIA SANAA WANANGU, WADOGO ZANGU KUKUA NCHI YENYE MAZINGIRA SALAMA.
 
?

JE WEMA YKO ENDORSED????????? AKIWA ENDORSED TUTALIVALI NJUGA HILO SWALA. SHERIA NI MSUMENO INAKATA HUKU NA HUKU
Kuna faida yeyote ya kupambana kushusha mafanikio ya mtu!? Kila mtu ana weaknesses zake,na usimjudge mtu kutokana na record yake,kuna viongozi bora tu duniani wenye mistakes kibao katika historia zao,kitu cha kuangalia ni kama huyu mtu hivi sasa anafanya hayo unayomshutumu.
 
Back
Top Bottom