Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Hivi ni nani yule ambae aliamua kuweka ndani kabisa baada ya kumvunjia kioo cha gari? Was Marehemu Kanumba, or?
Mwisho wa siku na yeye akapga chini.... Kila siku huwa nasema kuna wanawake ambao ni wakuolewa na wengine ni wakuona wenzao wakiolewa. .. Sasa mleta uzi anatuletea story za wanawake wa kushuhudia wenzao wakiolewa....
Hawa ni wakupiga mambo na kutema tu....