sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ukipeleka swala kanisani unapata ushauri, ushauri mwingine huchukua muda kwani maamuzi hufanyikia Vatican.Dini iliweka wazi pia tuoe ili kuondokana na uzinzi, sasa katika hii hali mwanaume anaweza kukaa miaka 30 bila kupata unyumba ?
Hio ni dhambi, mahusiano pekee baina ya mwanamke na Mwanaume ambayo Mwenyezi Mungu huyabariki ni yale ya kwenye ndoa tu, nje ya hapo hayo mahusiano hayana chembe yoyote ya baraka zake MunguUnakuwa na mchepuko wa kudumu unaweza kumuita rafiki wa kudumu.
Hakuna cha vatican wala cha marekani, sheria za ukristo ni kwamba huwezi kuongeza mke na kitu pekee cha kuwatenganisha ni kifoUkipeleka swala kanisani unapata ushauri, ushauri mwingine huchukua muda kwani maamuzi hufanyikia Vatican.
Yesu alipoletewa yule kahaba aliyehukumiwa kutupiwa mawe alisema asiye na dhambi awe wa kwanza kumrushia jiwe. Wote waliondoka. Kuna dhambi unatenda kutokana na mazingira unayoishi au uliyonayo..Hio ni dhambi, mahusiano pekee baina ya mwanamke na Mwanaume ambayo Mwenyezi Mungu huyabariki ni yale ya kwenye ndoa tu, nje ya hapo hayo mahusiano hayana chembe yoyote ya baraka zake Mungu
Vitu vingine muwe mnawauliza hata majirani zenu huko mnakokaa sio lazima kuvileta jukwaani.Hakuna cha vatican wala cha marekani, sheria za ukristo ni kwamba huwezi kuongeza mke na kitu pekee cha kuwatenganisha ni kifo
Kwenye uislam washaruhusiwa kuoa wake hadi wanne.Uislam umeruhusu Talaka katika mazingira yasiyoeleweka
hata Mwanaume akitokomea bila ya Taarifa Mwanamke ana haki ya kujivua na kuendelea na mambo yake
Mkataba wowote ulioingia kwa hiyari lazima uwe na uhiyari wa kuendelea nao na ndio sababu kwenye Uislam wakati ule ule unapofungishwa ndoa na Sheikh lazima ukumbushwe Luna kuachana na ikibidi achanani japo haimpendezi Mungu ila kairuhusu
Ni rahisi sana kuwajua watu mnaochezaga tu nyimbo za gospel ila neno ni sifuri 😂😂Yesu alipoletewa yule kahaba aliyehukumiwa kutupiwa mawe alisema asiye na dhambi awe wa kwanza kumrushia jiwe. Wote waliondoka. Kuna dhambi unatenda kutokana na mazingira unayoishi au ukiyonayo.
Waislam wanaruhusiwa kula nyama ya pork kama hakuna chakula kingine.
Kitu hakimpendezi Mungu. Binadamu, kwa kupitia ushehe, anakiruhusu. Kwa hiyo shehe ni zaidi ya Mungu! Tufuate anayoruhusu shehe hata kama tunajua kitu hicho hakimpendezi Mungu!Uislam umeruhusu Talaka katika mazingira yasiyoeleweka
hata Mwanaume akitokomea bila ya Taarifa Mwanamke ana haki ya kujivua na kuendelea na mambo yake
Mkataba wowote ulioingia kwa hiyari lazima uwe na uhiyari wa kuendelea nao na ndio sababu kwenye Uislam wakati ule ule unapofungishwa ndoa na Sheikh lazima ukumbushwe Luna kuachana na ikibidi achanani japo haimpendezi Mungu ila kairuhusu
Si kweli unayoyasemea kwa Ukatoliki. Vigezo vitatu vinahitajika kwa ndoa kutambuliwa katika Kanisa Katoliki:Vitu vingine muwe mnawauliza hata majirani zenu huko mnakokaa sio lazima kuvileta jukwaani.
Ndoa sio lazima itenganishwe na kifo, hata ikigundulika mwanaume hadindishi ukitoa taarifa ikithibitika kweli ndoa inavunjika ( ya kikatoliki)
Inamaana ile mpk kifo,Vitu vingine muwe mnawauliza hata majirani zenu huko mnakokaa sio lazima kuvileta jukwaani.
Ndoa sio lazima itenganishwe na kifo, hata ikigundulika mwanaume hadindishi ukitoa taarifa ikithibitika kweli ndoa inavunjika ( ya kikatoliki)