Pale mke anapofungwa miaka 30 jela na hurusiwi kuongeza mke, hii hali inatatuliwa vipi?

Cha kuongezea,
Ndoa haitakiwa kufungwa kama kuna Chembe Chembe za Uongo,
Kwa maan hyo wew unaetak kufunga Ndoa wakati unajua ni hanithi inadhihilisha wazi kabisa kwamba ulikuwa Muongo Kwa Mwenzio
Asante sana kwa nyongeza hiyo ambayo ni sahihi kabisa.
 
Hio ni dhambi, mahusiano pekee baina ya mwanamke na Mwanaume ambayo Mwenyezi Mungu huyabariki ni yale ya kwenye ndoa tu, nje ya hapo hayo mahusiano hayana chembe yoyote ya baraka zake Mungu
Komaa na unalo liamin mkuu inabidi kufanyiwa surgery watoe machine hamna jinsi
 
Ukristo hauna compromise! Huo ndio msalaba wako, simple and clear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…