Pale msanii unapotoa nyimbo 3 afu zote zii

Pale unapolazimisha kila mtu akichukie unachokichukia ww, shauri yako mwisho wa siku unaweza ukajikuta upo peke yako lkn wenzako wengi wanazipenda. Huyo msanii wako unayempenda, kakaa kimya mpaka MTV wamemsahau baada ya kuposti picha yake ktk page yao ya IG wakapost picha ya mpiga picha wake.
 
Ngoja jiwe liachiwe kama hamtatafutana humu achana na king kiba ngoma yake moja ni sawa na nyimbo ishirini za wasafi. Eneka, faya, bigiribigiri zote chali zinapumulia mashine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi namsubiria king wa hii bongo fleva yeye huwaga hana papara akitoa nyimbo moja inaishi miaka mitatu
Siyo hawa wanaotoa nyimbo kila wiki afu zote chali. Walichobakiza ni kiki za kipuuzi kama watoto wadogo, bibi zima ni mitoto mitano lkn halijielewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoo maana watz hatuendeleii nenda ka act na ww ukikosa chaa kupost boraa unyamazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah mashabiki wa kibongo nuksi sana yaan Msanii wako hajatoa nyimbo ni miaka sasa lakini bado unasifia .. Kiba bwana pesa hana akitaka kutoa ngoma lazima ajipange sana ..

sent from my iPhone 7 using jamiiForums mobile app
 
Daah mashabiki wa kibongo nuksi sana yaan Msanii wako hajatoa nyimbo ni miaka sasa lakini bado unasifia .. Kiba bwana pesa hana akitaka kutoa ngoma lazima ajipange sana ..

sent from my iPhone 7 using jamiiForums mobile app
Ww ndo mtunza ATM card zake mpk ujue hana hela. Hatupendi show off mambo yetu kimy kmy, ngoja bomu liachiwe mtatafutana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…