Pale msanii unapotoa nyimbo 3 afu zote zii

Pale msanii unapotoa nyimbo 3 afu zote zii

Zimezikwa na siasa za bongo.... Wanasiasa nao wanatafuta kiki kwenye media, media zimewasahau wasanii, shida tupu
 
Ngoja arudi safarini aanze kununua views YouTube...muziki Bongo ni wa dansi tu hii mingine ni majaribio na ya kupita tu.
 
Kilichbaki ni kuanza ku act porn tu maana adea ya kiki ni ileile na safari hii imegoma rekodini video kabisa mkigegedana apo ndo tutashituka. Davido anatrend Africa nzima kwa ngoma kali lakini mwenzangu na mm ngoma zote chali hahahaaa mwaka huu tutaona mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu unamsemea nani yaani
 
Back
Top Bottom