[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndyo maana akaamua kuuza karanga
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wahenga wanasema ANAHAHA...Kilichobaki ni kuanza kuact porn tu maana idea ya kiki ni ileile na safari hii imegoma rekodini video kabisa ya mapenzi apo ndo tutashituka.
Davido anatrend Africa nzima kwa ngoma kali lakini mwenzangu na mm ngoma zote chali hahahaaa mwaka huu tutaona mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
ANAKUA bata eeh? sawa mwache awe bata tuu..mm ntakuwa mbuzipole sana ila mwenzio anakua bata
duh...dunian kuna watu atauza hadi vitumbua hahahaaaaNdyo maana akaamua kuuza karanga
atauza had mihogo, huyu jamaa ni MUUZA KARANGA jasiri haachi asili hahahaaaaaNgoma tatu kwa mpigo alafu zote zimejifia sijui wapi lazima uchanganyikiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
we just talk about trending km ilivyokuwa NANA kipind kile kwa mfano....Kwan mbona mie nazisikia zipo ingawa sikupenda idea ya kutoa 3
kuna kajipovu flan hivi laini maeneo haya..polen sana ila najua thamani ya vitu na pesa hamjamfikia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
jipe moyo kaka maisha yenyewe magumu haya bado jamaa wakupe stress kwa kukupa ukweli mchungu kama huosio kweli labda wewe ndo ushaizika lakini eneka ndo habari ya mjin asee au na wewe ni eneka nn
KING KIBA NYIMBO MOJA TUZO SABA achana na huyo mtu asee simu yako itaisha chaji ghafla
kupigwa inapigwa kaka KWENYE SIMU LAKINI.Roho mbaya haijengi nyimbo inazidi kupigwa ndani na nje ys nchi we unasema hazisikiki...
Au ndo mmoja wa wale vinuka aliosema
Sent From Guest House
nakuongezea na nusu iwe miaka mitatu na nusu mzee hapo vipi?Mimi namsubiria king wa hii bongo fleva yeye huwaga hana papara akitoa nyimbo moja inaishi miaka mitatu
wssamehe wasamehe duuuuh...Siyo hawa wanaotoa nyimbo kila wiki afu zote chali. Walichobakiza ni kiki za kipuuzi kama watoto wadogo, bibi zima ni mitoto mitano lkn halijielewi.
Sent using Jamii Forums mobile app
My number one ilichukua tuzo saba za ktma usiku mmoja siyo izo zenu mnazokesha na simu mkoni hamlali. Tuzo zenyewe za kiboya tuKING KIBA NYIMBO MOJA TUZO SABA achana na huyo mtu asee simu yako itaisha chaji ghafla
Sent using Jamii Forums mobile app