Tofauti ya mwanamke na mwanaume kwenye mapungufu
Mwanaume anahasira full stop ana hasira
Mwanaume yupo rafu yaani mambo yake yapo zig zag
Mwanaume mkorofi tu yaani mkorofi
Makosa ya wanawake sasa
Umerudi nyumbani jitu limenuna tu yaani limenuna tu limepika,limekufulia nguo,limepasi lkn limenuna sababu nini hamna.
Mtu hataki tu ushike simu yako ukiwa nae kisa nini umemuoa hivyo yeye ndo anabidi uki keep busy kwahiyo sijibu email,si chat na rafiki sifanyi lolote kisa nipo na mke wangu
Mtu akiumwa anataka na wewe uumwe kama yeye yani uwe na huzuni usiangalie movies,usiende kazini,
Kifupi mwanaume anakosea na mapungufu yake yanaoneokana wazi kabisa hapa kakosea ila mwanamke ni anakukera tu yaani hawana madhaifu makubwa yaani atakukera usiwe na furaha yaani ukufanye tu ujute kuwa nae au uwaze wanawake wengine.Mwanamke hayupo tyr kuona ukiwa na furaha mda wote lazima atafanya ujinga ili mradi uchukue japo kidogo yaani uchukie tu .
Yes,kuna madhaifu makubwa wanawake wanayo ila kubwa kuliko ni kuiba furaha na uhuru wa mwanaume.
Unaweza kuwa na mwanamke very perfect mwaminifu,msafi,mpishi lakini anapiga simu kila baada ya dk 5 plus anataka muwe nae mda wote yaani we ukitoka kazini usiwe na maisha mengine kabisaaaaaa sasa mtadumu nae miaka kadhaa halfu siku anashangaa UNAMUACHA solemba.Anajiuliza shida nini?mbona nimekamilika kila idara ofcourse umekamilika kila idara ila unaniziba pumzi sina uhuru hata mpira siangalii kisa nina mwanamke pumbavu zako.[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Hapa siku mbili mfululizo nilikuwa busy na P.C nafanya kazi flani ya ofisini nakimbizana na deadline,nimemwambia kabisa hizi siku mbili nipo busy kuna kazi ya mhm nafanya nashangaa mtu anaanza kunisimang’a eti kazi gani zisizoisha ?hajui hata napitia stress gani na kwanini ratiba zimesimama ili mradi nimeliZe hii kazi!!!Mtu huyu ukimwambia unanikera hawezi kubali ng’ooooo sababu yee kazoea makosa ni kucheat,kutukana ,kuwa na hasira as long as hafanyi hayo anahisi hana kosa ni malaika hata ukiachana nae hutopata kama yeye[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]