Pale mwanamke anapodhani kanizidi akili kwenye mahusiano

Kwahiyo husband material uko single eeeh!?,,ila kama wewe ni tall and dark hapo umetudanganya.
 
Subiri kwanza;-
-kwamba wewe ni makini sana?
-wewe ni husband material?
-wewe mwenyewe haujaoa?
-wewe huyohuyo unabadilisha wanawake mara tu unapohisi unayohisi negatively?
-wewe huyohuyo "husband material " unajifananisha na wahuni ambao wanawake wakijilengesha wanawabutua tu ili wajue yaliyomo kama yamo?
-wewe huyohuyo unahonga "kidogo"?
-tena bila kusahau pia,wewe ni scorpion?
NB;Ni aidha hujielewi ni nani au haueleweki unataka kujieleza kitu kipi!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata mimi sielewi, tufe tu twende mbinguni haya maisha ya duniani jau sana.
 
hakuna cha uumini wala imani fulani.
ni swala la kuwa na elimu ya kumjua mwanadamu huna

Ukisikia mtu anakwambia fulani Ana nyota ya Simba, hakuna kitu unaelewa kichwani
Hizo ni imani sio elimu ya kumuelewa binadamu, mbona mnadanganywa kijinga aisee.

Wewe na watu wafia dini hamna tofauti yoyote.
Nyie ndio huwa mnatabiriwa muishije kulingana na nyota zenu πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Mbona kila nikisoma naona kama vile unalalamika na kujilaumu?
You are so down aisee, kuna kitu seems kimekupata ila hautaki ku share.
Pole lakini, ndiyo ukubwa huo na hao ndiyo wanawake wa siku hizi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ana nyota ya scorpion, huenda ndivyo walivyo watu wenye nyota hizo.
 
Kabeba mwanamke na kwenda kulala naye kwake hadi asubuhi, halafu na yeye akaokotwa na mwanamke huyohuyo kwenda kulala kwa mwanamke halafu anakuja na majisifu yasiyo na tija.
Vijana sijui kwanini hawaifunzi
 
Mbona kila nikisoma naona kama vile unalalamika na kujilaumu?
You are so down aisee, kuna kitu seems kimekupata ila hautaki ku share.
Pole lakini, ndiyo ukubwa huo na hao ndiyo wanawake wa siku hizi.
mimi ni Mwinjilisti, nikisema nianze kukuhubiria kwamba uokoke nakuwa na uchungu sana hivo hivo.
i hate to see people perish for lack of knowledge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…